Mkuu hawa ni wakurupukaji tuu na next farming season mambo kwa wakulima yakiwa mabaya utawaona na porojo zao.Una uhakika kulikwa na cartel katika korosho?
Cartel inafanyaje kazi ukiwa na bodi ya korosho inayotoa bei elekezi na korosho kuuzwa mnadani pia?
Ninavyoona serikali imechukua hatua ya ku intervene kwenye biashara ya korosho msimu huu sio kwa sababu za kibiashara kwamba inunue kutoka kwa wakulima halafu itafute soko ya korosho hizo na ipate faida, la hasha
Nadhani sababu ni za kisiasa zaidi na pia inataka kuvunja cartel ya kinyonyaji ya wanunuzi wakubwa wa korosho. Hata kama hakuna faida kubwa itakayopatikana au hata ikiwa ni hasara kiasi basi bora iwe hivyo kuliko ku give in kwa demands na syndicates za wanunuzi
Sasa kuruhusu kuingia korosho kutoka nje ya nchi zije kuuzwa Tanzania ni kuiongezea Serikali ya Tanzania mzigo wa budget ya kununua korosho hizo, ununuzi ambao hauangalii short time commercial gain but rather long term political and economical benefits
Ni maoni yangu tu lakini
Karika hali sasa si busara kununua korosho toka nje ya nchi. Kama kweli soko lipo hao wafanyabiashara waende Mozambique wakanunulie huko. Yawezekana terms za Tanzania kununua korosho zina unafuu na bei iko juu ndio maana wanaleta ikilinganishwa na huko kwaoHilo ni sawa lkn tukigusia suala la kiuchumi naona sisi ndiyo tunapoteza maana zikiuzwa tunapata sisi tozo zote na kuzifanya wilaya zetu kuongeza makusanyo
Miaka yote ambayo zao la korosho limekuwa bei yake ipo juu na kuliingizia taifa mapato ya kujivunia sehemu kubwa ya korosho ilikuwa inavushwa mpaka kutoka msumbiji na kuingizwa Tanzania na inauzwa bila tatizo lolote,na ubora wake unalingana na zile za Tanzania yaani wastani wa sot 51-54 na nuts count zao ni kati ya 160-190.
Lakini leo hii wakubwa wa operation hii wanazizuia hizo korosho zisiingie tena nchini mwetu kwa kigezo kisicho julikana ni jambo la kushangaza sana na sijui wanamkomoa nani kati ya Tanzania na Mozambique?wilaya za Tandahimba na Newala zilikuwa zinanufaika na korosho nyingi kutoka Mozambique kwani tozo zote zilikuwa zinaingia kwenye wilaya hizo sasa hali imekuwa kinyume kabisa.kweli nimeamini ule usemi wa hasira za mkizi!!!
Huna lolote
Serikali inanunua korosho kusaidia wananchi wake, hao Msumbiji wana Rais wao akitaka anunue.
Rais ananunua korosho za Tanzania sio za Afrika.
Kwa hili mmeishiwa hoja mnatapatapa kama wagonjwa wa pepopunda.
Hilo ni sawa lkn tukigusia suala la kiuchumi naona sisi ndiyo tunapoteza maana zikiuzwa tunapata sisi tozo zote na kuzifanya wilaya zetu kuongeza makusanyo[
Walipokuwa wakinunua wafanyabiashara ilikuwa faida kwa halmashauri zetu kwa kupata ushuru, lkn sasa inanunua serikali na bado hakuna uhakika kuwa itapata faida.in case ikipata hasara,korosho toka nje ya nchi zitaizidishia serikali hasara.Naunga mkono serikali kuzuia korosho toka nje ya nchi.
Watanzania tunadanganywa sana na wanasiasa.Una uhakika kulikwa na cartel katika korosho?
Cartel inafanyaje kazi ukiwa na bodi ya korosho inayotoa bei elekezi na korosho kuuzwa mnadani pia?
Karika hali sasa si busara kununua korosho toka nje ya nchi. Kama kweli soko lipo hao wafanyabiashara waende Mozambique wakanunulie huko. Yawezekana terms za Tanzania kununua korosho zina unafuu na bei iko juu ndio maana wanaleta ikilinganishwa na huko kwao
Watanzania tunadanganywa sana na wanasiasa.
Hakuna MTU au mfanyabiashara anayetoka nje na kuja kuwanyonya wakulima.
Never on earth !!!
Soko la duniani kote liko wazi na linatangazwa kwenye mitandao.Na tunawataalam wa uchumi na masoko wanafuatilia.
Kwa hiyo mfanyabiashara akija anajua wazi kuwa bei ya soko inajulikana!!
Wanaohujumu ni watanzania wenzetu waliopewa mamlaka ya kupanga bei elekezi; hawa wanaweka maslahi yao Mbele kwa kuwarubuni wafanyabiashara kwa kuvuruga bei na kiasi Fulani kinaingia mifukoni mwao na miaka ya nyuma kilikua kinatumiwa na chama kilichokua kinatawala Msumbiji kukwapua pesa za wakulima kwa ajili ya shughuli za kisiasa za kujenga chama. Ndio maana watu wengi walioongoza vyama vya ushirika walikua mamilionea na wengi wakaingia baadae kwenye siasa hasa kwenye chama kikubwa kilichotawala muda mrefu.
Hii ni sawa na kule Kongo makandarasi wa Barabara na majengo wanavyolazimishwa kusaini mikataba ya tenda lakini pesa kubwa inaishia mifukoni mwa waafrika wenzetu walioaminiwa , na majengo na barabara hasa za halimashauri zinakuwa za kiwango cha chini sana. Hapo Utamlaumu vipi Mkandarasi wakati anaambiwa kama hutaki acha tutachuku mwingine atakayekubali masharti ya kukatwa pesa ziingie mifukoni mwa kindi la watu na wengi wao wanafahamiana.
Wanaolihujumu wakulima na hili taifa hawajawahi kuwa watu kutoka nje!
Hata wakoloni walilitumia vizuri sana rasilimali za nchi hii wakati huo na teknolojia duni iliyokuwepo kujenga miundo mbinu na taasisi nyingi tu kama mashule ,majengo bora kabisa ya Ibada ,maofisi ya umma mpaka ofisi kubwa kabisa za kitaifa kwa ubora wa hali ya juu. Hawakutuhujumu kwa kujenga majengo kwa kiwango hafifu kama wanavyofanya waafrika wenzetu leo.
.....Waliokuja kuharibu walikua ni waafrika wenyewe na kuanza kujijenga binafsi na familia zao ili waishi kama wakoloni.
Huu ujanja wa Wanasiasa wa kudanganya watu kuwa tunanyonywa na watu kutoka nje /wazungu sijui nini, ni janja yao ya kuwapofusha watu macho ili waendelee kutafuna nchi huku tukiamini anayetafuna ni mzungu. Kijana wa kiafrika anapewa ukuu wa Mkoa au uwaziri kwa miaka mitatu anamiliki Mali sawa na Mjukuu wa Bedford , waliofanya biashara dunia nzima tangu karne ya 19.
Halafu tunabaki kuwatupia lawama Wazungu na wafanyabiashara wa nje.
wewe muosha vyombo vya mbowe zoezi lipo kwa ajili ya kuwasaidia wakulima kununua korosho wa zao kwa bei nzuri zoezi halipo kwa ajili ya korosho zinazovushwa kutoka nchi jirani na wafanyabiashara wasio na faida!
Tatizo hata kusoma kilicho andikwa hukusoma
wewe muosha vyombo vya mbowe zoezi lipo kwa ajili ya kuwasaidia wakulima kununua korosho wa zao kwa bei nzuri zoezi halipo kwa ajili ya korosho zinazovushwa kutoka nchi jirani na wafanyabiashara wasio na faida!
Wenye dhamana /mamlaka wanaingia mikataba mibovu then wanalalamikia na kulaumu eti mabeberu wanatuibia na watanzania kwa upeo mdogo tunawashangilia na kuwaona ni watetezi wetu 😔 😔 😔Watanzania tunadanganywa sana na wanasiasa.
Hakuna MTU au mfanyabiashara anayetoka nje na kuja kuwanyonya wakulima.
Never on earth !!!
Soko la duniani kote liko wazi na linatangazwa kwenye mitandao.Na tunawataalam wa uchumi na masoko wanafuatilia.
Kwa hiyo mfanyabiashara akija anajua wazi kuwa bei ya soko inajulikana!!
Wanaohujumu ni watanzania wenzetu waliopewa mamlaka ya kupanga bei elekezi; hawa wanaweka maslahi yao Mbele kwa kuwarubuni wafanyabiashara kwa kuvuruga bei na kiasi Fulani kinaingia mifukoni mwao na miaka ya nyuma kilikua kinatumiwa na chama kilichokua kinatawala Msumbiji kukwapua pesa za wakulima kwa ajili ya shughuli za kisiasa za kujenga chama. Ndio maana watu wengi walioongoza vyama vya ushirika walikua mamilionea na wengi wakaingia baadae kwenye siasa hasa kwenye chama kikubwa kilichotawala muda mrefu.
Hii ni sawa na kule Kongo makandarasi wa Barabara na majengo wanavyolazimishwa kusaini mikataba ya tenda lakini pesa kubwa inaishia mifukoni mwa waafrika wenzetu walioaminiwa , na majengo na barabara hasa za halimashauri zinakuwa za kiwango cha chini sana. Hapo Utamlaumu vipi Mkandarasi wakati anaambiwa kama hutaki acha tutachuku mwingine atakayekubali masharti ya kukatwa pesa ziingie mifukoni mwa kindi la watu na wengi wao wanafahamiana.
Wanaolihujumu wakulima na hili taifa hawajawahi kuwa watu kutoka nje!
Hata wakoloni walilitumia vizuri sana rasilimali za nchi hii wakati huo na teknolojia duni iliyokuwepo kujenga miundo mbinu na taasisi nyingi tu kama mashule ,majengo bora kabisa ya Ibada ,maofisi ya umma mpaka ofisi kubwa kabisa za kitaifa kwa ubora wa hali ya juu. Hawakutuhujumu kwa kujenga majengo kwa kiwango hafifu kama wanavyofanya waafrika wenzetu leo.
.....Waliokuja kuharibu walikua ni waafrika wenyewe na kuanza kujijenga binafsi na familia zao ili waishi kama wakoloni.
Huu ujanja wa Wanasiasa wa kudanganya watu kuwa tunanyonywa na watu kutoka nje /wazungu sijui nini, ni janja yao ya kuwapofusha watu macho ili waendelee kutafuna nchi huku tukiamini anayetafuna ni mzungu. Kijana wa kiafrika anapewa ukuu wa Mkoa au uwaziri kwa miaka mitatu anamiliki Mali sawa na Mjukuu wa Bedford , waliofanya biashara dunia nzima tangu karne ya 19.
Halafu tunabaki kuwatupia lawama Wazungu na wafanyabiashara wa nje.
Wenye dhamana /mamlaka wanaingia mikataba mibovu then wanalalamikia na kulaumu eti mabeberu wanatuibia na watanzania kwa upeo mdogo tunawashangilia na kuwaona ni watetezi wetu![]()
![]()
![]()