Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,521
- 96,267
- Thread starter
- #21
Kuna mdau amesema serikali imejipanga tu kununua korosho za mkulima mtanzania tu
Kuna tatizo, hapo biashara ina kanuni zake, ukizikiuka undhoofisha mfumo mzima wa biashara
Hivi unawezaje kukutaa kuchukua (dhahabu) bidhaa kwa wingi na kwa bei nzuri ili ukiuza update faida kubwa?
Au selikari haijajipanga kupata faida??