Ninavyoona serikali imechukua hatua ya ku intervene kwenye biashara ya korosho msimu huu sio kwa sababu za kibiashara kwamba inunue kutoka kwa wakulima halafu itafute soko ya korosho hizo na ipate faida, la hasha
Nadhani sababu ni za kisiasa zaidi na pia inataka kuvunja cartel ya kinyonyaji ya wanunuzi wakubwa wa korosho. Hata kama hakuna faida kubwa itakayopatikana au hata ikiwa ni hasara kiasi basi bora iwe hivyo kuliko ku give in kwa demands na syndicates za wanunuzi
Sasa kuruhusu kuingia korosho kutoka nje ya nchi zije kuuzwa Tanzania ni kuiongezea Serikali ya Tanzania mzigo wa budget ya kununua korosho hizo, ununuzi ambao hauangalii short time commercial gain but rather long term political and economical benefits
Ni maoni yangu tu lakini