Habibu B. Anga
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 6,557
- 25,757
- Thread starter
- #41
Asante sana chiefKama kawaida yako mkuu karibu tena
Asante sana chiefKama kawaida yako mkuu karibu tena
Asante sana chief kwa ushauri adhimu... nitafanyiakazi hili, naamini tutafanikiwa.Yericko Nyerere wakati anazindua kitabu chake cha Ujasusi wa Kidola na Kiuchumi, alikizindulia hapa na alipata uungwaji mkono mkubwa sana kutoka kwa wana JF mpaka wa nje ya nchi.
Nadhani ukiiga mbinu yake utapata sapoti kubwa sana, ukiweka cover yake hapa siku kikiwa tayari na overview yake.
Pia nimemuona Mwanakijiji akifanya hivyo kwa riwaya yake ya Upako toka kuzimu, japo muitikio haukua mzuri sana kwake kutokana na sababu za kisiasa.
Lakini naamini ukiweka angalau cover ya kitabu hapa ukatangaza na maeneo kitakaponunuliwa na overview yake, JF tutakuunga mkono sana.
Shukrani chiefwelcome blood
Kumbe wamekufungia kule ndio maana sikuoni aisee...Hapana sio mimi pia situmii Whatsapp zaidi ya iMessage tu kwa sababu zangu.Kuna watu stori ya Rwanda inawatoa povu sana hata uzi wa Rwanda mods wamenipiga pini tena nisichangie chochote ila watu wale watatu wamewaacha pamoja na kunitusi wawezavyo na bora ile Stori uliishia vile vile tungeuwana kwakweli sio kwa Povu lile. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Pamoja mkuu tupo pamoja big up sanaNimeimaliza yote mpaka mwisho. Kacheki vizuri
Pamoja sanaAmen! Shukrani chief
tulimshauri afanye hivyo ili kulinda haki ya kazi zake maana kuna wakati watu walikuwa wanamuibia na kuandikia makala kwenye magazeti yao.Dah! The bold umebadili jina hadi hatukutambui. Bora urudi tu
unafanananisha Ontario na the bold. hao ni watu wawili tofauti. acha kukurupuka.Baada ya kutapeli watu Forex umeamua kurudi kwenye hadithi za uongo na kweli
hii ndio shida ya kushinda viunga vya lumumba ukivizia kuwapiga mzinga wavaa mashati ya kijani.Huu ni uchochezi,
Stori yako ingekuwa nzuri endapo usingetumia maneno itikadi, imani na ushujaa
Inaonesha mleta hoja uko bias kimtazamo
Umeegemea upande
Kama mwanafikra story yako yako ingekuwa huru pia.
Radicalized