Operation DUSTCOVER: Mawimbi Yame-Intercept Kabla ya Code Kuingizwa kwenye Server

Kiufupi ni GWAJIMA alitumia MANABII wenzake kutengeneza TABIRI za kutisha kuelekea UCHAGUZI 2025, lakini wenye nchi yao wameshamng`amua sasa wanadili nae..
Gwajima ana Nguvu gani CCM mpaka atumie watu? Mda always ni Mwalimu mzuri tujipe mda
 
Gwajima amefanya fumigation wadudu toka kila kona wanaruka ruka ovyo. Wauaji wakubwa nyie.
 
Nimefuatilia nyuzi zako kwa kina sana, kwa akili yangu ambayo nimekuja kufinalize kuwa nina akili nyingi kukuzidi hatimae nimegundua kuwa yote unayoandika ni nonesense and useless.
Watekaji na wauaji kurjuan imeanza kuchanganya wanaropoka kama wamekunywa maji ya chooni vile.
 
Kwa kifupi, kifaa cha kufukua kaburi kimefungiwa. Wale waliotumwa kwa giza sasa wamelazimika kutafuta nuru bandia ya kukimbilia. And just as it’s said in the field: He who operates at dawn will face dusk before his time.
You probably have an important message, but you lost the audience!
 
Natuletea Vingereza ya Lumumba tumuone jack Bauer 😀
 
Haya mambo yamekuzidi ukub huwezi kuelewa haraka.
Hakuna cha ukubwa wala nini,.....ni uhoga wa mleta post tu.
Japo anatumia id fake lakini hajiamini,....na hilo ndio tatizo letu kama Taifa.
 
Mkuu sisi wengi tulio na vichwa vya panzi hatukuelewi , maana hapa pa JF, lazima uwe wazi.
That is unless unataka message iwaendee tu ulio wa-tag.
Kuwa muwazi, ama sivyo nalog off
 
Aiseh!!Mbona mlichelewa kutoa taarifa Hali ilivyo!!?

Hadi sasa propaganda zao tumezinywa kama sumu na zimeishi akilini mwetu na nabii zao tumeziamini sana!!japo Tumia akili alisaidia kidogo ku balance mambo !!

Ngoja tuendelee kutumaini kwamba mambo mazuri yatalipata taifa siku za usoni!!

Mungu ibariki Tanzania yetu!!
 
Katika mazingira ya Tanzania ya sasa, wapo watu wanaotumia jukwaa la dini kuendesha siasa za kivuli, kwa nia ya kupunguza uhalali wa mamlaka ya nchi. Mfumo wa usalama umeshatambua njia hizi — hata pale zinapokuja kwa sura ya uongozi wa kiroho.
Sahihi kabisa Mkuu
 
Katika mazingira ya Tanzania ya sasa, wapo watu wanaotumia jukwaa la dini kuendesha siasa za kivuli, kwa nia ya kupunguza uhalali wa mamlaka ya nchi. Mfumo wa usalama umeshatambua njia hizi — hata pale zinapokuja kwa sura ya uongozi wa kiroho.
Nna mashaka na huu mgumu wa usalama wa vijana wa kijan ,nahis umekaa Uchawa na kutengeneza picha ya kugofya Kwa mkuu ili wateke nafs yake ili ahisi Kuna hatar kubwa mbele yake na Vijana waonekane wanapiga kazi ili waongezewe size ya ugali wao na kujaziwa nyama kwenye bakul zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…