Operation Delete CCM: Lema, Lissu, Sugu, Machali watafanya mkutano Arusha leo

Wakuu,

Amani iwe pamoja nanyi, leo kutakuwa na mkutano mkubwa wa hadhara utakaofanyika katika viwanja vya samunge Kilombero, utakaohudhuriwa na makamanda kibao wakiongozwa na Mbunge wa Arusha mjini kamanda Godbless Lema, pamoja na makamanda Lissu, Sugu, Machali, Kiwelu na viongozi wa kanda na jimbo la Arusha mjini.

Ni mkutano wa aina yake kwakuwa Arusha tulidhamiria, na tumeweza kuifuta ccm maeneo yote, operesheni hii inaendeleza kile ambacho tumekifanya na tunaendelea kukifanya ya DELETE FUTA KABISA CCM ARUSHA!

Ulinzi umeimarishwa, RB wetu wenye uzoefu wa hali ya juu wataendelea kutupa huduma ya usalama.

Tutatupia kila kila kitakachokuwa kikijiri

UPDATES:
attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php

Maskini wee! Ona watu walivyokaa kwa matumaiiiiini, wakiamini eti Mbowe na Lema watawapa maisha bora! Wangejua wanatumiwa kama mtaji, wala wasingechomeka na jua kiasi hichi maskini! Mbowe,Slaa,Lema na wenzao ni malaghai wa siasa, wanaishi kwa kufuata upepo!
 
Operation delete ccm Arusha mkikamilisha tunaomba muhamie Mbeya. Huku nako tunataka kumalizia kuviondoa kabisa vigamba vidogo vidogo vilivyosalia.
tunazunguka nchi nzima lazma tuwafuta na KUWADELETE hawa wakoloni weusi ccm
 
Huu ni ubishi wa CCM tu, tunawashauri kila siku wajikite walau kwenye mikoa ya Dodoma, Singida na Tabora - huko kwingineko wamesha-deletewa longi, wamegoma!! sasa watu kama hawa unawasaidia ki vipi sasa?.

Pamoja sana makamanda!! Hapa ni kuwa-delete na kuwatoa kwenye Recycle Bin.

attachment.php
 
Maskini wee! Ona watu walivyokaa kwa matumaiiiiini, wakiamini eti Mbowe na Lema watawapa maisha bora! Wangejua wanatumiwa kama mtaji, wala wasingechomeka na jua kiasi hichi maskini! Mbowe,Slaa,Lema na wenzao ni malaghai wa siasa, wanaishi kwa kufuata upepo!
Umeandika?
 
kijana usijichoshe, watu wameshachoka kusikia usanii wa CCM. Habari ndiyo hiyo!! Hutaki ingia msituni kama jamaa yako wa TOT.
 
Maskini wee! Ona watu walivyokaa kwa matumaiiiiini, wakiamini eti Mbowe na Lema watawapa maisha bora! Wangejua wanatumiwa kama mtaji, wala wasingechomeka na jua kiasi hichi maskini! Mbowe,Slaa,Lema na wenzao ni malaghai wa siasa, wanaishi kwa kufuata upepo!

Watu wanapiga picha, angalia simu namba moja. Mungu awajalie mafanikio wapambanaje hawa. We kwa kuwa hujapigika, hujapandishwa kwenye roli na kupewa wali kwa maharage, hujapiwa kanga na vitenge mpauko, siyo waxy za Nigeria, Ivory coast bali makapi ya KTM, kama hujavalishwa vikofia, hujatozwa michango ya kuchangia shule za kata ilihali unalipa kodi, hujalala kwa njaa kwa sababu ya ukame na uko sisi meeeeeee hoyeeeeeeeee. Hongera sana
 
Huu ni ubishi wa CCM tu, tunawashauri kila siku wajikite walau kwenye mikoa ya Dodoma, Singida na Tabora - huko kwingineko wamesha-deletewa longi, wamegoma!! sasa watu kama hawa unawasaidia ki vipi sasa?.

Pamoja sana makamanda!! Hapa ni kuwa-delete na kuwatoa kwenye Recycle Bin.

attachment.php

Picha kama hizi mnawapa wenzetu 'pressure' na watashindwa kusherehekea vizuri 'historia' waliyoweka jana pale Dodoma
 
Maskini wee! Ona watu walivyokaa kwa matumaiiiiini, wakiamini eti Mbowe na Lema watawapa maisha bora! Wangejua wanatumiwa kama mtaji, wala wasingechomeka na jua kiasi hichi maskini! Mbowe,Slaa,Lema na wenzao ni malaghai wa siasa, wanaishi kwa kufuata upepo!

Huna akili kabisa
 
ukitaka kuitete ccm wakati huu inabidi ujifanye chizi au mwendawazimu ili watu wakuelewa na siyo unakuja na akili zako timamu unajifanya unaitete ccm mbele za watu utapigwa#!!!!!!!
 
attachment.php

Huyu jamaa aliyevaa kombati za CDM ni mwanachadema pekee anayeishi mtaa wa Bondeni ukikuta anapambana na wazee wa gahawa maeneo ya msikiti mkuu wa Bondeni lazima utamkubali ana miliki restaurant mkabala na msikiti wa Bondeni kila siku yupo na kombati zake.Sijui kama Mungi unamfahamu Juma Mnene kada wa CCM lakini siku za karibuni kahamia CUF wakikutana na huyu kamanda wenu lazima utafurahi.
 
Last edited by a moderator:
Wakuu,

Amani iwe pamoja nanyi, leo kutakuwa na mkutano mkubwa wa hadhara utakaofanyika katika viwanja vya samunge Kilombero, utakaohudhuriwa na makamanda kibao wakiongozwa na Mbunge wa Arusha mjini kamanda Godbless Lema, pamoja na makamanda Lissu, Sugu, Machali, Kiwelu na viongozi wa kanda na jimbo la Arusha mjini.

Ni mkutano wa aina yake kwakuwa Arusha tulidhamiria, na tumeweza kuifuta ccm maeneo yote, operesheni hii inaendeleza kile ambacho tumekifanya na tunaendelea kukifanya ya DELETE FUTA KABISA CCM ARUSHA!

Ulinzi umeimarishwa, RB wetu wenye uzoefu wa hali ya juu wataendelea kutupa huduma ya usalama.

Tutatupia kila kila kitakachokuwa kikijiri

UPDATES:
attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php

Mkuu Mungi nawaomba makamanda wasikusahau huku kwetu Nyasa Matema Beach kunamagamba mengi so juhudi za makusudi zitumike kuya delete.
 
Back
Top Bottom