Operation Delete CCM: Lema, Lissu, Sugu, Machali watafanya mkutano Arusha leo

Operation Delete CCM: Lema, Lissu, Sugu, Machali watafanya mkutano Arusha leo

2015 ccm wakichaguliwa basi kura ni za kuiba. Mimi nathani kuna walioko ccm wanataka mabadiliko sema mabadiliko hayo yatawaweka ndani watu wengi sana.
 
2015 ccm wakichaguliwa basi kura ni za kuiba. Mimi nathani kuna walioko ccm wanataka mabadiliko sema mabadiliko hayo yatawaweka ndani watu wengi sana.

CCM wamejichokea wenyewe, ndiyo maana kila wanachokifanya ni cha kuwamaliza wenyewe...
 
Leo tuko bize na makabidhiano ya rasimu.

Hatuna muda wa kuja kuwasikiliza wahuni!
 
Lema na sugu~bangi
lisu -kichaa
machali- laana ya kumpiga baba yake mzazi... Huo mkutano ni aibu tupu
.......Baada ya kuliona jina lako tu, sikutarajia uandike tofauti na ulichoandika. Shetani akubariki sana!!
 
Kwa sasa hata lugha ya mawasiliano imebadilika. Hakuna lugha inayosema tutafanya maandano hata bila kupata go ahead ya Polisi.

Wametingisha kiberiti cha IGP wakagundua kimejaa njiti.

No more Maandamano!.

Sheria ni msumeno.

Karibuni tena kwenye siasa za kistaraabu kama CCM.

Eti siasa za CCM za Kistaarabu hizo picha huo ni ustaarabu?

View attachment 191356 View attachment 191357 4.jpeg images-1.jpeg images.jpeg
 
Kwa sasa hata lugha ya mawasiliano imebadilika. Hakuna lugha inayosema tutafanya maandano hata bila kupata go ahead ya Polisi.

Wametingisha kiberiti cha IGP wakagundua kimejaa njiti.

No more Maandamano!.

Sheria ni msumeno.

Karibuni tena kwenye siasa za kistaraabu kama CCM.

Mwanadiwani mbona huna jema?wakisema maandamano mnawakemea wakiachana na maandamano mna wabeza!Kwani upinzani ni uadui?wote ni watanzania hakuna haja ya kujengeana chuki.
 
Tutatimba kamanda wangu kachala wangu, nihakikishie tu kama ganja,gongo na viroba vitakuwepo?
 
Kamanda Machali naye kumbe ni ndani ya nyumba - safiii sanaaaa.
 
Back
Top Bottom