Mida gani mkuu maana baada soka hii starehe ya piliHahhahaha jiandae kesho Eid nitavurumisha birihani jingine
Sasa mkuu usd 40k si kama mil 92 za kibongo.
Mbona jamaa(CBI) naona kama wametumia gharama zaidi ya hiyo kumtafuta jamaa..
Kesho kumbe ni sikukuuHahhahaha jiandae kesho Eid nitavurumisha birihani jingine
sasa mm na ww tujifunze maskini hata wizi anakosa vigezo.Haswaaa... Ona jamaa anakaa 5 star hotel kwa siku tano, analipia tangazo, analipia ukumbi sku mbili, analipia bus na anawapa vijana michuzi ya nauli.... Bado yeye kuonekana smart kama kitengo ili usishtukiwe
Duh jamaa alitumia akili sana kuandaa tukio hilo
Thank you for the tag
hata ukiwaza na kipasa sauti kitu ni vumbi mwamba kala chochorooSasa hawa jamaa wanafeli sana ivi kwani wakati uyu Singh anaingia kwa mara ya kwanza pale hotelini CCTV camera zilikua wapi? kaingia kapita Mapokezi kazungumza Camera zilikua wapi? kapelekwa kwa maneja wa Opera house kabla ya wizi kutokea Camera zilikua wapi?...
Nawaza kwa sauti tu
HahahahaAtakua ana asili ya Afica..Chaggas
Halafu jamaa alikuwa anatumia njia za ardhini tu nina wasiwasi hata mpaka wa India hakuvuka na pipa... Waliendesha kidharau sana hiyo kesi mwisho wa siku jamaa akawaautosmart..Kosa kubwa walilolifanya hao CBI ni kumu under estimate huyo jamaa
Walippmuona mtu amekodi watu 26 bila wao kujijua na kuwapa vitambulisho feki hapo wangetakiwa kujua huyu jamaa sio ligi ya nyumbani hii, wangefunga mipaka ya miji mara moja na mipakani, hayo mambo ya kwenda kufuatilia sijui basi, kumhoji dereva, dereva teksi, kufuatilia gari gani kote huko jamaa alijua watapita na alijua atakuwa na muda wa kutosha kutoroka nchi kwa kuwazubaisha jamaa kwenye njia ambazo zipo wazi hivyo
Inatoka soon mkuu
Wale jamaa walioiba zile dollar miaka ya nyuma kkoo wakazima mpaka cctv usikute huyu jamaa alikuwepo.Makadirio ni 30-35 lakh kwa kipindi hicho