Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,220
- 39,851
Poa usiwaze 😅😅Mimi ni yule Dada wa reception kule hotelini mtakapofikia.
Poa usiwaze 😅😅Mimi ni yule Dada wa reception kule hotelini mtakapofikia.
😅😅😅😅
Mimi nitakuwa mratibu mkuu.... Nawachorea plan wee na mane tunaenda kuizima BoT
Ooow! I can't wait to see you.I understand, too bad that we know nothing.
Nimesogeza ratiba ya kwenda kule, itakuwa October. I think nitafika nyumbani kujua nini shida.
BTW, I'm coming back this September, remember we have unfinished business.
Ooow! I can't wait to see you.
Ukifika nyumbani utanisaidia na Mimi kujua hali yake maana Nina hofu kweli.
Hii kazi wangepewa Scotland Yard,Mosad na Wenginge level hizi labda tungepewa taarifa ya kueleweka hawa waindi zao Dawa tu..Hawakupata kipingamizi cha taswira yake mkuu... Issue ni kuwa hafahamiki na hata anakotokea si kweli ndiko yaliko makazi yake.
Itakua hatari mzee 😅😅Nakodi Yutong moja pale ubungo