Uo wizi nmeupenda sanaVyote mkuu asilia plus madesa kidogo
Naingoja kwa shauku mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna mwingine unakuja huo ni BAB KUBWA
mpaka sasa nalisubiri, ucsahau kunitag tu... Iliyopita shukrani sana nmeupata muendelezo.Hahhahaha jiandae kesho Eid nitavurumisha birihani jingine
Haswaaa... Ona jamaa anakaa 5 star hotel kwa siku tano, analipia tangazo, analipia ukumbi sku mbili, analipia bus na anawapa vijana michuzi ya nauli[emoji23][emoji23].... Bado yeye kuonekana smart kama kitengo ili usishtukiwe
And so??Unapoamua kuandika story humu....andika umalize....wengine tushaenda huko google kuimalizia[emoji57] Na nina uhakika huna muendelezo
Baba swalehe unataka uwe mkubwa zaidi uwende wapi??? Si tayar ushakua na mtoto unaeNikiwa mkubwa nataka niwe kama singh mazee [emoji28][emoji28][emoji28][emoji38][emoji38]
Hpana nkiwa mkubwa we elewa hivyo tuBaba swalehe unataka uwe mkubwa zaidi uwende wapi??? Si tayar ushakua na mtoto unae