Mara nyingi makala za hivi ni kuhusu wenzetu huko nje. Kibongo bongo hizi ishu watu hawajapiga kweli au ndio kusema kitengo wanaficha sana mambo?Karibu sana mkuu
Yaani nimejitahidi kadri niwezavyo.Kweli ujue, imagine mpaka kesho inafika na you still have not done anything.
Kibongo bongo bado ni ngumu mkuu na wizi wa akili nyingi ni adimu... Wengi ni silaha za moto n.k labda na utapeli.Mara nyingi makala za hivi ni kuhusu wenzetu huko nje. Kibongo bongo hizi ishu watu hawajapiga kweli au ndio kusema kitengo wanaficha sana mambo?
Mimi ni yule Dada wa reception kule hotelini mtakapofikia.4G LITE njoo tufanye tukio kama la jamaa
Manengelo nakupa ucaptain
BOB os karibu pia
Mkuu asant, hii story kuna mdau hum aliitumia ila kwa namna nyingine anaitwa THE Bold...Hatareee
Hahahahahahaha na applicantsAmepelea meneja na dereva![]()
Hawakupata kipingamizi cha taswira yake mkuu... Issue ni kuwa hafahamiki na hata anakotokea si kweli ndiko yaliko makazi yake.Sasa hawa jamaa wanafeli sana ivi kwani wakati uyu Singh anaingia kwa mara ya kwanza pale hotelini CCTV camera zilikua wapi? kaingia kapita Mapokezi kazungumza Camera zilikua wapi? kapelekwa kwa maneja wa Opera house kabla ya wizi kutokea Camera zilikua wapi?...
Nawaza kwa sauti tu
Mkienda kutafuta mniambie kabisa ili nisije nikajikuta na Mimi na apply.HHhhaha hao tunaenda kuwachota mtaani na pressure iliyopo tutapata more than![]()
Yaani nimejitahidi kadri niwezavyo.
Sijui hata kana shida gani.
Hahahasasa hiyo ndo inaitwa unapigwa nje ndani mzee, mtu kawapiga pesa alafu mnatumia pesa zenu na bado patupu.
Bongo matumizi ya nguvu sana. Excuse my French, ila wengi wetu tumebeba vichwa kama mapambo!Kibongo bongo bado ni ngumu mkuu na wizi wa akili nyingi ni adimu... Wengi ni silaha za moto n.k labda na utapeli.