Ochumeraa
JF-Expert Member
- May 18, 2015
- 4,507
- 5,739
Thanks Mkuu nimeona muendelezo....Hongera kwa kazi nzuri
Thanks Mkuu nimeona muendelezo....Hongera kwa kazi nzuri
mkuu nilichojifunza kwa wezi wakubwa ni kwamba kama huna pesa kamwe huwezi kufanya lolote huku duniani hata wizi hutoweza. pesa ndo kila kitu hata ukiwa mwizi huwezi kukamatwa kabisa.karibu sana mkuu[emoji3][emoji3]
huyo hata wakimkamata inabidi wamsalimie kwanza kwa adabu.Du jamaa anakula bata tu huko kusikojulikana
shida wahindi nao wanafanana kama chupa za soda.Mkuu kwani jamaa aliondoka na madini yenye thamani ya sh ngapi??
Maana kuna muhindi huku namhisi atakuwa ni yeye...
sasa hiyo ndo inaitwa unapigwa nje ndani mzee, mtu kawapiga pesa alafu mnatumia pesa zenu na bado patupu.Sasa mkuu usd 40k si kama mil 92 za kibongo.
Mbona jamaa(CBI) naona kama wametumia gharama zaidi ya hiyo kumtafuta jamaa..
Iko poa. Vipi nikifanyia majaribio hapo bongo?
bashite ndo role model wake.Hapo umeharibu kabisa mkuu. Bora ungekaa kimya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1487]4G LITE njoo tufanye tukio kama la jamaa
Manengelo nakupa ucaptain
BOB os karibu pia
Haswaaa... Ona jamaa anakaa 5 star hotel kwa siku tano, analipia tangazo, analipia ukumbi sku mbili, analipia bus na anawapa vijana michuzi ya nauli[emoji23][emoji23].... Bado yeye kuonekana smart kama kitengo ili usishtukiwemkuu nilichojifunza kwa wezi wakubwa ni kwamba kama huna pesa kamwe huwezi kufanya lolote huku duniani hata wizi hutoweza. pesa ndo kila kitu hata ukiwa mwizi huwezi kukamatwa kabisa.
Wasomaji mnatakiwa mchambue ni kutoa lesson learnt mkuu... Mimi nafanya marejeo na kuchapa kwenye lugha yetu pendwa tu... Nashukuru kwa mchango huu naamini utafanyiwa kazi.Mkuu inapendeza kutuwekea hitimisho nini umejifunza kupitia hii simulizi hii