oooooooooooohps!

oooooooooooohps!

AMINATA 9

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2011
Posts
2,120
Reaction score
642
NATAMANI AWE WANGU PEKE YANGU WA KUFA NA KUZIKANA CKU ANANIVIKA SHELA ...............NITAJIONA MWENYE FURAHA SANA HAPA DUNIANI.............lkn mmmmmmmmmh!
 
hakuna wa kwako peke yako.
 
..na akikutamkia hivyo wewe chukulia 50/50 maana haitakuwa kama ambavyo unafikiria hata kama maneno yake ni matamu zaidi ya unavyotarajia.
 
kwaiyo akinitamkiaje ndio nijue ananilove
 
Kama kweli unataka hivo basi itakua hivo. Ila ukianza kuweka shaka faham ataenda nje. Good luck
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom