oooooooooooohps!

oooooooooooohps!

maneno yatabakia kuwa ni maneno tu, haimaanishi kila kinachoongelewa ndio kitendwacho
kwaiyo unataka kuniambia kila anavoniambia mm ndio malaika wake ananidangaya mwe!.............mbona wanitisha sasa
 
Kaburi je?

kuna nchi wanashare makaburi wakifa. Walimwomba raisi wao eneo la kuzikiwa ili kila mtu azikwe kwenye kaburi lake, raisi akawaambia "wakati tunashughulikia ombi lenu na nyie punguzeni kufa".
Hakuna cha kwako peke yako giddy.
 
sasa izo njia za kumapata huyo mwema ndio nazitaka bila u komando ndani ya house..now tell me how do i find mr right guy

huwezi kumpata bila wewe mwenyewe kumtengeneza ... kama utampata jua wenzako wamemtengeneza
 
aminata tf anakuita. Umpe anachotaka kaka yangu huyo.

ahhaaaaaaaaaaaaaaa mtasonyaje......................hahaaaaaaaaaaaaaaa honi haifungui geti babuu na kumchinja kobe yatakiwa timing mana ni mpaka atoe kichwa babu haloooooooooooooo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom