Oooh!! Sinta

Kwel nimeamn wanaume wa kbongo n wanafk na tunapenda mikorogo!mke wako akjbadl hv utafurah?
 
25.jpg
Dah! Msinambi umebanwa! kwa joto la dar lazima utakuwa unatema kiaina!
 
sina sababu za kumsifia kinafki...huyo demu hanifikii hata chembe...kama vipi ni pm tumeet uone level yangu...ni demu wako nini?

He! wewe jaman..i sasa huoni kama ataona unajitafutia soko, mpotezee bwana...
 
Walimwengu walikwisha niambia kuwa demu wangu huyu hafai. Mimi nikawabishia nikawaona wao ndio hawafai. Hivi sasa ninajuta........staki demu.
 
Hili kwa show off basi nothing there!!amzidi mpenzi wangu and i approve this thread!!!
 
ni mzuri sana & SHE IS GOOD KITANDANI sitaki maswali zaidi LOL
 
Haha me nacheka tuuuu?si narusiwa?........haha nendeni mkafanye kazi zenu huyo ndio mtoto wa mzee mwarubadu.......acha nikadai urithi wangu kwa mzee simba nije ni inverst hapo.......still kufa kunoga haikosi ila maisha yenyewe yako wapi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom