Mwana Mpotevu
Platinum Member
- Sep 7, 2011
- 3,295
- 2,500
Make up ukizidisha haipendezi..
Acha wivu Afrodenzi
Make up ukizidisha haipendezi..
La haula, mie sikujuwa kama huyu Sinta ni Mwaarabu, ana nywele na rangi nzuri.
she is still hot ila apunguze minyama bwana
Wanaume wa humu ndani wanapenda mkorogo na weupe wa bandia.
Sinta punguza mkorogo jamani....
ni mrembo....
Afro d hana wivuAcha wivu Afrodenzi
Acha wivu Afrodenzi
Afro d hana wivu
sina sababu za kumsifia kinafki...huyo demu hanifikii hata chembe...kama vipi ni pm tumeet uone level yangu...ni demu wako nini?Asavali wewe kidogo umesifia ingawa kinafiki kama kawaida, umeponda minyama yake, hujui sie wanaume ndo tunapenda hayo manyama yake?
sina sababu za kumsifia kinafki...huyo demu hanifikii hata chembe...kama vipi ni pm tumeet uone level yangu...ni demu wako nini?
minyama ka kiti moto......khaaa
minyama ka kiti moto......khaaa