Kalunguine
JF-Expert Member
- Jul 27, 2010
- 2,543
- 134
Achani juma nature aseme 'sitaki demu'na ajisahihishe kwa "tina mama mbona umeniacha"
Ngoja niwahi bafuni kabla sijasahau
Ivuga mamabo gani haya tena,umesababisha watu tuchomolee mashati wakati tulikuwa tumeulamba.
Usisahau kuchukua revola.wajameni naomba dk mbili tu! naenda dukani kwa mangi.....be right back.
. Mweee na carolight kwa wingi kaaaaWanaume humu JF wanaona amependeza, kumbe ni makeup!
too much makeup, amechange amekuwa km mzungu, mi ndio mana huwa ninampenda monalisa, hata km anajimake up she is just natural and simpleMake up ukizidisha haipendezi..
. Mweee na carolight kwa wingi kaaaa