Ooh Poor NSSF!! - What is this?

Ooh Poor NSSF!! - What is this?

Jamani,
Ukisema wanasiasa wameiharibu TANESCO,una maana gani?...maana yake ni kuwa TANESCO ni shirka la serikali.Historia inaonyesha kuwa serikali ina maamuzi ya kisiasa mno!
So,why do we want to give kiwira back to the government?...so they can have their cadres make decisions for it?...nah,I dont think it's a good idea.
TANESCO's failure is TANESCO's failure,and if you say politicians ruined TANESCO,thats even worse because we don't want politicians hands in kiwira again....so rule TANESCO out,unless they completely overhaul it!

Tanesco ni shirikala umma, Mkurugenzi anateuliwa na Rais (hadi mwaka jana, sijui sasa), bodi ya wakurugenzi inateuliwa na waziri.
Maamuzi mengi yanayoidhoofisha Tanesco ni kutokana na mashinikizo ya wanasiasa na si wataalamu wa fani ya energy.
Mkapa aliingiza Net Group kwa nguvu kwa kutumia FFU, ili hali wafanyakazi walijua tatizo ni nini. Labda Kobello utuelimishe Net group ya mkapa ilisaidiaje mafanikio ya Tanesco.

Kuingia kwa IPTL wakati wa Mwinyi ni mkataba wa kisiasa. Ukweli ni kuwa kulikuwa na njia mbadala, lakini kwa kuangalia 10%, wakasaini mkataba mbovu unaoiua tanesco hadi leo. Waliofanya hivyo ni wanasiasa chini ya mhuri wa baraza la mawaziri. Kobello kama IPTL ni mkataba safi tuthibitishie maana tuna ushahidi wa kutosha kuwa ule ulikuwa uchafu wa wanasiasa.

Richmond ya EL na vimemo vya kushinikiza ipewe tenda kimkato mkato ni ushahidi usiohitaji certificate yoyote kuhusu uingiliaji wa wanasiasa, labda tu kwa anayegoma kuelewa.
Dowans ni ushahidi wa jinsi mikataba inavyoandikwa city centre kijiweni kwa jina la Tanesco. Kama umesoma nyaraka za Dowans haitakuchukua hata dakika mbili kujua ukweli, lakini inahitaji ueledi kujua na kama hakuna utashi wa kuelewa ni ngumu sana.

Tanesco wanapodai bilioni 56 kutoka Zanzibar wanakatazwa kwasababu tu za kisiasa, hata idara na mashirika ya umma ni hivyo. Shirika gani litaendeshwa kwa utaalamu wa kisiasa. Wapi ilifanikiwa hiyo.

Hivi ni kwanini akina January watoe maelezo ya kisayansi juu ya 'energy' na si wataalamu wa fani hiyo.?
January, Zitto, Filikunjombe, Ngeleja na kamati zao wanatakiwa wapate maelezo kutoka kwa wataalam wa Tanesco, na si kazi yao kutueleza kina cha maji mtera au megawatt/ hr zinazozalishwa. Kujiingiza kwao kuna maana zaidi ya umeme ambayo ni 'politics'

Tanesco inatumika kama 'conduit' ya miradi ya wazee kwa gharama za asilimia 20 ya watumiaji na 80 wasio na umeme kabisa.
Kama hakuna maboresho kw tanesco kwa kuiacha huru ijiendeshe kama taasisi, sijui NSSF itakwepaje kibano.
 
a. Ni kitu gani kiliwafanya NSSF kukubali kumpatia mkopo Tanpower (Ya Mkapa na Yona) kwa masharti ya kurudisha katika miezi sita?
b. Kwanini baada ya Tanpower kushindwa kurudisha mkopo (tangu 2007/2008 NSSF hawakuchukua hatua za kuwadai Mahakamani?
 
Two of the largest pension funds - the National Social Security Fund (NSSF) and the Parastatal Pension Fund (PPF) - have been criticized for engaging in risk concentration, putting too much of the workers' money in real estate and office accommodation. Worse still, there have been occasions where some pension funds have been lending billions of shillings to well-connected businessmen.

sielewi kama wakosoaji wa miaka sita iliyopita nao walidaiwa udini!
 
a. Ni kitu gani kiliwafanya NSSF kukubali kumpatia mkopo Tanpower (Ya Mkapa na Yona) kwa masharti ya kurudisha katika miezi sita?
b. Kwanini baada ya Tanpower kushindwa kurudisha mkopo (tangu 2007/2008 NSSF hawakuchukua hatua za kuwadai Mahakamani?

Excellent!
JF members maswali a na b hayo hapo juu tusaidiane tafadhali.
 
Excellent!
JF members maswali a na b hayo hapo juu tusaidiane tafadhali.

Niliuliza pia swali la nani alimteua Dau kuwa Mkurugenzi wa NSSF mwaka 2001 lakini hilo nalo halipewi jibu maana litatupa mwanga kwenye majibu ya maswali hayo mawili vile vile na itatupa majibu ya kwanini deni la Kiwira lilisamehewa na ni kwanini ni NSSF wanaotaka kuchukua Kiwira.. ni kama mazingaombwe fulani hivi..
 
Hapa kulikuwa na thread inayozungumzia UFISADI uliokithiri kule PPF na huyu mheshimiwa hakuja kuleta hoja ya kuuliza kitu
Pension Funds zinginezo zinafanya mambo mazito kama NSSF lakini huyu bwana amemngangania tuu Dr Dau...au kwa sababu jina lake ni RAMADHANI?

na mkitaka ushahidi tazameni threads hizi hapa:

Mengi vs Manji: Ukweli ni upi?
https://www.jamiiforums.com/jamii-intelligence/1643-mengi-vs-manji-ukweli-ni-upi.html

Dk. Dau: NSSF inastawisha maendeleo
https://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/19479-dk-dau-nssf-inastawisha-maendeleo.html


Dr. Dau achukuliwe hatua kushtakiwa
Dr. Dau achukuliwe hatua kushtakiwa [Archive] - MwanaKijiji.COM

Samahani NSSF, samahani Dr. Dau, Nyoni!
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/19691-samahani-nssf-samahani-dr-dau-nyoni-2.html

NSSF na Vifo Tabora
NSSF na Vifo Tabora [Archive] - MwanaKijiji.COM


Sakata la Dr. Masau: Msimamo wa Serikali na Hatima ya Taasisi ya Moyo (THI)

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...kali-na-hatima-ya-taasisi-ya-moyo-thi-33.html

NSSF, NPF na mashirika kama haya Hayasaidii wadau
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-na-mashirika-kama-haya-hayasaidii-wadau.html



Sasa mkishasoma posts zake humo ndio mtaelewa kuwa hata mseme nini au mlete ushahidi wa namna gani, huyu bwana alishamake up his mind ages ago.
 
Nguruvi,
NetGroup was actually brought by the world Bank(WB policies require private participation in energy sectors for a state to get funds) in cooperation with SIDA.It was a management contract with the aim of getting TANESCO ready for privatisation.At that time,TANESCO was under PRSC which directly report to the President's Office.The whole contract cost was 19m$,and SIDA provided a 10m$ grant.
TO ANSWER YOUR QUESTION,revenue collection went up from 10m$ annually to 24m$ by the end of the contract!!....again,like I said earlier,TANESCO didn't like the contract because the second phase,which was about technical improvement in transmission and prevention of power loss was impractical due to too much government intervention coupled with corruption in all levels.
 
Hapa kulikuwa na thread inayozungumzia UFISADI uliokithiri kule PPF na huyu mheshimiwa hakuja kuleta hoja ya kuuliza kitu
Pension Funds zinginezo zinafanya mambo mazito kama NSSF lakini huyu bwana amemngangania tuu Dr Dau...au kwa sababu jina lake ni RAMADHANI?

na mkitaka ushahidi tazameni threads hizi hapa:

Sasa mkishasoma posts zake humo ndio mtaelewa kuwa hata mseme nini au mlete ushahidi wa namna gani, huyu bwana alishamake up his mind ages ago.

kama mwenzako Mdondoaji; kati ya hizo zote onesha ambayo nimetaja dini ya Dr. Dau. Lakini ili uonekane angalau una hoja ingekupasa udai kwamba kati ya yote niliyowahi kuzungumzia au mtu ambaye nimewahi kumzungumzia ni Dr. Dau/NSSSF peke yake ambaye nimewahi kuanzisha thread kadhaa juu yake. Hata hivyo hapo utapa shida:

Hebu Tuangalie kumhusu Lowassa:

Kwanini Kikwete hakusimama na Lowassa?


Inatosha Lowassa Jiuzulu

Ujumbe wa Wazi kwa Mhe. Lowassa

Lowassa Nguvu Kuu nyuma ya Mabadiliko?

Nani atamwambia Ukweli Lowassa?

E. Lowassa afanye nini ili apendwe/akubalike?

Sasa kuna mada karibu 17 ambazo nimezianzisha kuhusiana na Lowassa. Lowassa ni Mlutheri na mimi ni Mkatoliki. Mlutheri anaweza akaja na kulalamika kuwa "namuandamana" Lowassa kwa sababu ni Mlutheri. Lakini hawezi kukuta sehemu yoyote Ulutheri wa Lowassa ukiingizwa. Lakini, labda tuangalie Mkapa, Mkatoliki Mwenzangu! Nimewahi kuanzisha mada yoyote kumhusu Yeye?

Mkapa Above the Law (allegations) - ya 2006


Anna Mkapa na Epa

Alianza Mkapa hawa wanafuata tu

Kikwete Vs. Mkapa - Shairi

Sasa bila ya shaka unaweza ukaja na kusema kuwa hao ni "wanasiasa' na siyo viongozi wa mashirika ya umma. Well, utakuwa umesahau kuhusu Shirika la Ndege la Tanzania ATCL ambalo lilikuwa linaongozwa na David Mataka. Je ni mada ngapi nimeanzisha kuhusiana na shirika hilo? Nitatoa mwenyewe mifano michache - lakini sikusikia watu wakidai nafanya hivyo kwa "udini" isipokuwa linapokuja suala la Dr. Dau!

ATCL yashtakiwa Marekani kwa kuvunja Mkataba;

ATC Taabani! yaomba serikali Bilioni 7!


POSHO: Kuanzia Bungeni Hadi Kwenye

KLH Exclusive: ATC yatumia Milioni 400 ku"pimp our

Kwa hili JK unatutania!
 
Watu wengine pasua kichwa haswa!! Sijasema audit firm iombe mkuu,kisheria CAG anaweza kuteua Audit firm yeyote yenye sifa kufanya kazi kwa niaba yake.umekurupuka mkuu.

Inaelekea hata unachopost huwa hukielewi! kwenye COMMENT YAKO UMESEMA CAG atangaze tender au hujui maana ya kutangaza tender?? kutangaza tender maana yake wenye sifa ya kufanya ulichotangaza huwa wanaomba that is why nimekufundisha kuwa kazi za Audit huwa hazitangazwi kama tenda ya kujenga matundu ya vyoo, badili tabia yako ya kuandika usichokijua.
 
Kwa nini sasa hivi tukianza kujadili hoja muhimu kama hii tunaibadili kuelekea kusiko kwa kuingiza dini au kabila ya kiongozi wake mkuu? NSSF ina bodi yake ya WADHAMINI. Ramadhani Dau hafanyi maamuzi mazito kama haya bila idhini ya bodi hii. Kwa nini anaandamwa Dau peke yake?
 
"Ooh Poor NSSF!! - What is this?"

What is so poor about that?

What do you mean about "What is this?"

If you do not know what NSSF doing, it's called, diversified investment.

Its very normal for Social Security Funds, not only in Tanzania, to invest in energy related projects.

Is there anything wrong with that?


Maji mshindo,
Concern yetu kubwa ni wether hawa NSSF wata-manage hii miradi!! Surely miradi ni mikubwa sana, and stake are very high!!
Hilo jengo la Machinga complex tu, halijulikani kama City Council watarefund... Kuna shida kubwa tu kwenye initial idea, I wonder if there was a feasibility study to justify the project!!

Ije madeni makubwa ya Kiwira, plus new investments!!! Business and Operations model ya shirika imekaa kiserikali!! Financial statements are not for public consumption!! I wonder hii miradi mikubwa kama watafika salama...
 
Nguruvi,
NetGroup was actually brought by the world Bank(WB policies require private participation in energy sectors for a state to get funds) in cooperation with SIDA.It was a management contract with the aim of getting TANESCO ready for privatisation.At that time,TANESCO was under PRSC which directly report to the President's Office.The whole contract cost was 19m$,and SIDA provided a 10m$ grant.
TO ANSWER YOUR QUESTION,revenue collection went up from 10m$ annually to 24m$ by the end of the contract!!....again,like I said earlier,TANESCO didn't like the contract because the second phase,which was about technical improvement in transmission and prevention of power loss was impractical due to too much government intervention coupled with corruption in all levels.

So Kobello, at least you're receptive that Tanesco's failure is mainly contributed by government interference, bureaucracy, politics and depravity.

If Tanesco will not be given autonomy it is unlikely to deliver. In this context, you should also agree with those who are skeptical with new deal of NSSF to generate the power. NSSF has the same structure of administration hierarchy as Tanesco though with different functions and responsibilities. It is obvious that what Tanesco has gone through will repeat itself to NSSF 'project to be'.
Unless you prove that NSSF will operate from different country, I will remain skeptical with Kiwira power project.

The gist is to clean the Tanesco and give it autonomy to fully utilize its resources without being answerable to executives, politicians or parliamentarians who are basically working for their own interest or act as agents for libertine individuals.

NSSF was supposed to shore up Tanesco to find the common ground they could work together. Fortunately the later has infrastructures in place which need improvement. NSSF could inject the fund and design modus operandi with Tanesco to deliver since 'it takes two to tango'.

We need to ask ourselves the rational of NSSF to rush to the deal without checking the background of Kiwira which has many questions than answers. For instance, what was the deal between NSSF and Tan power (mkapa 2008), and why the Organization did not take legal action when the Tan power failed to honor the deal. (Ref. MMKJ).

What transpired when transformation took place i.e. government-Tanpower-government-NSSF. Is it not weird? It is only nincompoop who will sell assets to vendors for 1000 shs and re-buy for 2000shs. What's going on here!

Last but not least, we're discussing the NSSF as an Organization. The conversation is not based on individual as some of us would like to put it. I remember Dr Dau was appointed by Pres Mkapa based on merits as propounded by intelligence service.
To make Dr Dau as a subject or part of discussion is a hoodwink to adulterate the topic.
Let us shun this trivial matter so that we focus on subjects of national interest as whole.
 
Inaelekea hata unachopost huwa hukielewi! kwenye COMMENT YAKO UMESEMA CAG atangaze tender au hujui maana ya kutangaza tender?? kutangaza tender maana yake wenye sifa ya kufanya ulichotangaza huwa wanaomba that is why nimekufundisha kuwa kazi za Audit huwa hazitangazwi kama tenda ya kujenga matundu ya vyoo, badili tabia yako ya kuandika usichokijua.
Huwezi kupata kazi ya Audit bila ku bid mkuu kwa kuainisha uzoefu,idadi ya staff na qualifications zao na proposed audit fees za audit firm yako ili kampuni husika ichague itayoifaa lakini hata TRA Dept of large tax payers wameainisha ukubwa na uzoefu wa firm ku audit kampuni zilizo kwenye hiyo category.lakini mkuu turudi kwenye hoja ya msingi tuache kutafuta pa kuibua mjadala ndani ya mjadala,I'm out of this sh*t man!
 
Kwa nini sasa hivi tukianza kujadili hoja muhimu kama hii tunaibadili kuelekea kusiko kwa kuingiza dini au kabila ya kiongozi wake mkuu? NSSF ina bodi yake ya WADHAMINI. Ramadhani Dau hafanyi maamuzi mazito kama haya bila idhini ya bodi hii. Kwa nini anaandamwa Dau peke yake?

Wildcard, umeingia kwenye mtego ule ule...
 
Najaribu Kufuatilia hii thread lakini kila nikija kwenye michango ya mdondoaji napoteza "trends of thought" na najikuta inabidi nirudi nyuma kwenye hoja ya msingi being discussed!......I think Mdondoaji is very clever, sidhani kama anaamini kweli kwamba Mwanakijiji anamatatizo na Dr. Dau kwasababu ya dini yake..ila lengo lake nikuuchanganya huu mjadala watu washindwe kuufutilia!!!

Mdondoaji please kosoa hoja sio mtoa hoja!!

I think it is sufficient to comment on one sentence that you think Mwanakijiji is discriminating against Muslims(as your opinion), but after that it is only fair if you either don't contribute any further or contribute constructively (criticise/support with solid points) on the substance of the issues being raised!!!

Thanks again.
Kama kuna mtu aliyefanikiwa ni yule alipandikiza hizi chembe za udini. Yaani watu siku hizi hawaangalii mada wanachoangalia ni majina. Kwa upuuzi wa kutoelewa eti ukiitwa John ni Mkristo na Halifa n muislam hata kama wote wawili ni washirikina na firauni kuliko shetani.
Hapa JF ukiona mtu anakwepa hoja basi atatumbukiza udini, pathetic!
Jiulize wapi Dr Dau ameshambuliwa au kutajwa kama sehemu ya NSSF deal. Kama ipo sehemu ionyeshwe.
Siri: ukiona mtu anaonglea udini, ukabila na rangi,ni dalili za uwezo finyu wa kufikiri, kutambua au kuchambua! ni hatari sana wanamna hiyo
 
Siri: ukiona mtu anaonglea udini, ukabila na rangi,ni dalili za uwezo finyu wa kufikiri, kutambua au kuchambua! ni hatari sana wanamna hiyo


Nadhani "udini" unaanza kutumika kama majibu ya kila tatizo; yaani wapo watu ambao kweli kabisa hawawezi kuangalia jambo lolote isipokuwa kama kuna dini nyuma yake.
 
Nguruvi,
NSSF has to submit its actuarial report to ILO every three years I guess.The notion that NSSF is rushing in to things is just weird,because NSSF has enough experts to oversee these projects(I mean their feasibilty).
When you say NSSF should invest in TANESCO's poor infrastructure,you didn't take into consideration what it really takes to overhaul the whole infrastructure,it needs a lot of dough!Why should NSSF invest in a poor perfoming company like TANESCO?They cant even collect their bills.
TANPOWER deal was bogus.However,NSSF is the winner here,the loan added up with interest and now they can cheaply aquire the mine!Can TANESCO buy Zanzibar?
When you talk about taking TANPOWER to court,did you read the terms of their loan agreement?,under which court is the auctioning of General tyre assets was granted?.....and why POAC stopped it?You can reposses the assets without going to court as long as the loan agreement stipulate so.It's the duty of the debtor to stop it in court.
Lastly,corruption and government interruption affects both parastatals.So we need to look at these things ceteris peribus,and I am damn sure NSSF is more competent as a bidder compared to TANESCO.
Did TANESCO bid?.....
 
What transpired when transformation took place i.e. government-Tanpower-government-NSSF. Is it not weird? It is only nincompoop who will sell assets to vendors for 1000 shs and re-buy for 2000shs. What's going on here!
The government doesn't own kiwira!!
 
Back
Top Bottom