Ooh!...Hapa hakuna ndoa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ooh!...Hapa hakuna ndoa!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by PakaJimmy, Mar 2, 2010.

 1. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #1
  Mar 2, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,233
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Hey people,
  Kwanini maneno mbaya kama hii inatokea katika siku muhimu kama hii?

  [​IMG]

  Je ni jinsi gani rahisi, na ya ustaarabu ya kukata mahusiano na wapenzi wa zamani, hasa tunapoingia kwenye ndoa?
   
 2. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #2
  Mar 2, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,589
  Likes Received: 341
  Trophy Points: 180
  kama huyo mwingine aling'ang'ania ndoa je?

  lakini issue ni hivi, kama jamaa anapatia appetite kwingine lakini anakula home kuna mbaya hapo?!!
   
 3. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #3
  Mar 2, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,975
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  Duu jamani.Kazi kweli kweli.Jamaa kashikilia bila soni.
   
 4. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #4
  Mar 2, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,589
  Likes Received: 341
  Trophy Points: 180
  halafu kalishikilia utamu acha kabisa! inaonekana analijua kwa sana tu
   
 5. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #5
  Mar 3, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,233
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Kwanini upatie appetite kwingine?

  Huoni kwamba huko home itakuwa ni brutal/robotic love making?
   
 6. T

  Tall JF-Expert Member

  #6
  Mar 3, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 1,433
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Ukitazama picha kwa makini utagundua kuwa yule best man yupo na mkewe(aliyeshikwa taxxx) sasa????? jamaa alipomshika taxxx bibie, inalekea yule mama aliguna kidogo, mguno huo mumewe kausikia lakini hajui umetokea wapi na ndio maana kageuka nyuma.Halafu mshikwa taxxxx ndio kwanza anajilegeza na kujisogeza. FUNZO; usisimamie ndoa na mkeo, pili uwe makini mchumba wako anapopendekeza msimamizi, pengine hawara yake?Msimamizi upendekeze wewe sio yeye ala.
   
 7. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #7
  Mar 3, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,816
  Likes Received: 347
  Trophy Points: 180
  Inatia kinyaa sana hii; Bongo yanatokea ya aina hiyo nimeshuhudia huu mchezo na Bwana harusi alikhahakisha smalll house inahudhuria na inapewa treatment zote kwenye shere ya harusi na huku baadhi ya marafiki wa karibu wakijua! Niliposikia nililaani sana na kweli imenipunguzia kuzishabikia sana hizi harusi zetu!
   
 8. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #8
  Mar 3, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,227
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Kaaz kwel kwel. Ndoa ipo ila ni kutimiza wajibu tu
   
 9. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #9
  Sep 19, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,233
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Jamaa anaanza maisha ya ndoa akiwa keshamchoka bi-arusi mbaya kabisa na hana hamu nae!
   
 10. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #10
  Sep 19, 2010
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,134
  Likes Received: 1,460
  Trophy Points: 280
  Heeeeh,u sound like a male da sophy .Wa ajabu ni yule anayekubali kung'ang'aniwa,its a cheap excuse anyway.
   
 11. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #11
  Sep 19, 2010
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,134
  Likes Received: 1,460
  Trophy Points: 280
  Inawezekana na huyo bestman alikuwa anaangalia kama audience inamuangalia ili ashike kalio la bi harusi na yeye.Saa zingine pesa bandia,cheni bandia....
   
 12. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #12
  Sep 20, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145

  Bestman sio kasikia mguno kutoka kwa mkewe, bali naye anamkonyeza bibi harusi kimahaba...! Duh....! Ndio maana mimi niliamua tuanze kutengeneza maisha kwanza kabla ya harusi....! Hii misherehe imekuwa ni michoro tu....!
   
 13. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #13
  Sep 20, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,271
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Brigita umepata hisia gani hapo? maana hizo sentesi zako zinaamsha mzuka wangu ohooooo
   
 14. chiko

  chiko JF-Expert Member

  #14
  Sep 20, 2010
  Joined: Feb 24, 2010
  Messages: 459
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Musimlaumu Bwana harusi, kwani kaangalia hio Miguu (kama acheza Namba Tano; Football), ajaribu kupima pumzi BOLII!!!!!!
   
Loading...