Ooh!...Hapa hakuna ndoa!

PakaJimmy

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
16,203
8,724
Hey people,
Kwanini maneno mbaya kama hii inatokea katika siku muhimu kama hii?

Je ni jinsi gani rahisi, na ya ustaarabu ya kukata mahusiano na wapenzi wa zamani, hasa tunapoingia kwenye ndoa?
 
kama huyo mwingine aling'ang'ania ndoa je?

lakini issue ni hivi, kama jamaa anapatia appetite kwingine lakini anakula home kuna mbaya hapo?!!
 
Kwanini upatie appetite kwingine?

Huoni kwamba huko home itakuwa ni brutal/robotic love making?
 
Ukitazama picha kwa makini utagundua kuwa yule best man yupo na mkewe(aliyeshikwa taxxx) sasa????? jamaa alipomshika taxxx bibie, inalekea yule mama aliguna kidogo, mguno huo mumewe kausikia lakini hajui umetokea wapi na ndio maana kageuka nyuma.Halafu mshikwa taxxxx ndio kwanza anajilegeza na kujisogeza. FUNZO; usisimamie ndoa na mkeo, pili uwe makini mchumba wako anapopendekeza msimamizi, pengine hawara yake?Msimamizi upendekeze wewe sio yeye ala.
 
Inatia kinyaa sana hii; Bongo yanatokea ya aina hiyo nimeshuhudia huu mchezo na Bwana harusi alikhahakisha smalll house inahudhuria na inapewa treatment zote kwenye shere ya harusi na huku baadhi ya marafiki wa karibu wakijua! Niliposikia nililaani sana na kweli imenipunguzia kuzishabikia sana hizi harusi zetu!
 
kama huyo mwingine aling'ang'ania ndoa je?

lakini issue ni hivi, kama jamaa anapatia appetite kwingine lakini anakula home kuna mbaya hapo?!!

Heeeeh,u sound like a male da sophy .Wa ajabu ni yule anayekubali kung'ang'aniwa,its a cheap excuse anyway.
 
Ukitazama picha kwa makini utagundua kuwa yule best man yupo na mkewe(aliyeshikwa taxxx) sasa????? jamaa alipomshika taxxx bibie, inalekea yule mama aliguna kidogo, mguno huo mumewe kausikia lakini hajui umetokea wapi na ndio maana kageuka nyuma.Halafu mshikwa taxxxx ndio kwanza anajilegeza na kujisogeza. FUNZO; usisimamie ndoa na mkeo, pili uwe makini mchumba wako anapopendekeza msimamizi, pengine hawara yake?Msimamizi upendekeze wewe sio yeye ala.
Inawezekana na huyo bestman alikuwa anaangalia kama audience inamuangalia ili ashike kalio la bi harusi na yeye.Saa zingine pesa bandia,cheni bandia....
 
Ukitazama picha kwa makini utagundua kuwa yule best man yupo na mkewe(aliyeshikwa taxxx) sasa????? jamaa alipomshika taxxx bibie, inalekea yule mama aliguna kidogo, mguno huo mumewe kausikia lakini hajui umetokea wapi na ndio maana kageuka nyuma.Halafu mshikwa taxxxx ndio kwanza anajilegeza na kujisogeza. FUNZO; usisimamie ndoa na mkeo, pili uwe makini mchumba wako anapopendekeza msimamizi, pengine hawara yake?Msimamizi upendekeze wewe sio yeye ala.

Bestman sio kasikia mguno kutoka kwa mkewe, bali naye anamkonyeza bibi harusi kimahaba...! Duh....! Ndio maana mimi niliamua tuanze kutengeneza maisha kwanza kabla ya harusi....! Hii misherehe imekuwa ni michoro tu....!
 
Musimlaumu Bwana harusi, kwani kaangalia hio Miguu (kama acheza Namba Tano; Football), ajaribu kupima pumzi BOLII!!!!!!
 
Back
Top Bottom