halafu kalishikilia utamu acha kabisa! inaonekana analijua kwa sana tuDuu jamani.Kazi kweli kweli.Jamaa kashikilia bila soni.
Kwanini upatie appetite kwingine?kama huyo mwingine aling'ang'ania ndoa je?
lakini issue ni hivi, kama jamaa anapatia appetite kwingine lakini anakula home kuna mbaya hapo?!!
kama huyo mwingine aling'ang'ania ndoa je?
lakini issue ni hivi, kama jamaa anapatia appetite kwingine lakini anakula home kuna mbaya hapo?!!
Inawezekana na huyo bestman alikuwa anaangalia kama audience inamuangalia ili ashike kalio la bi harusi na yeye.Saa zingine pesa bandia,cheni bandia....Ukitazama picha kwa makini utagundua kuwa yule best man yupo na mkewe(aliyeshikwa taxxx) sasa????? jamaa alipomshika taxxx bibie, inalekea yule mama aliguna kidogo, mguno huo mumewe kausikia lakini hajui umetokea wapi na ndio maana kageuka nyuma.Halafu mshikwa taxxxx ndio kwanza anajilegeza na kujisogeza. FUNZO; usisimamie ndoa na mkeo, pili uwe makini mchumba wako anapopendekeza msimamizi, pengine hawara yake?Msimamizi upendekeze wewe sio yeye ala.
Ukitazama picha kwa makini utagundua kuwa yule best man yupo na mkewe(aliyeshikwa taxxx) sasa????? jamaa alipomshika taxxx bibie, inalekea yule mama aliguna kidogo, mguno huo mumewe kausikia lakini hajui umetokea wapi na ndio maana kageuka nyuma.Halafu mshikwa taxxxx ndio kwanza anajilegeza na kujisogeza. FUNZO; usisimamie ndoa na mkeo, pili uwe makini mchumba wako anapopendekeza msimamizi, pengine hawara yake?Msimamizi upendekeze wewe sio yeye ala.
Brigita umepata hisia gani hapo? maana hizo sentesi zako zinaamsha mzuka wangu ohooooohalafu kalishikilia utamu acha kabisa! inaonekana analijua kwa sana tu