Ooh! Baby, Oooh! Baby

Ooh! Baby, Oooh! Baby

Labda kweli kamuimbia mwanae na hilo neno Kuchi Kuchi linaweza kuwa na maana tofauti kwa lugha ya kwao tofauti na ile ya kihindi.
Hili neno kwa wengine maana yake ni..
Kuchi
The males G-spot
The space between a Males
balls and asshole 'Kuchi'

kuchi
vagina. See also: koochi .
Origin: kuchi is a Japanese
word meaning mouth.
"I be poppin' in the kuchi." (I
am always having sex.)

Au inawezekana akawa anamaanisha yale maneno mzazi amwambiayo mtoto wake ili kumfanya asilie au acheke i.e "Kuchi kuchi kuu"
Inategemea na mazingira ya maneno hayo yanapotumika.

"Nlikuwepi":bolt:

Kuchi kuchi ya kihind, unajaribu mtetea, kuna wimbo wake mngine unaitwa "under the mango tree"
 
Kuchi kuchi ya kihind, unajaribu mtetea, kuna wimbo wake mngine unaitwa "under the mango tree"

Hapa unazungumziwa wimbo wa kuchi kuchi kaka..
Ila huo unaosema me bado sijausikia.

"Nlikuwepo":bolt:
 
hata nami unanivutia kiasi cha kunishangaza una maana gani?
itabidi nimwimbie mtu humu mjengoni next week
Oooh! Baby, my Baby...
oh baby,oh baby
i see me in your eyes
oh baby,oh baby
i see love in your smile
you tell me kuchi kuchi ah
i understand
you tell me kuchi kuchi ah

Naupenda sana huu wimbo, umeimbwa na Jodie
 
Angekuwa anamwimbia mwanae basi angemuonesha kwenye vdeo ya wimbo.
 
Si unajua sku hz ndevu kama mizz ya mihogo ni baby inawezekana kwa baby wake hyo imfikie
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom