Onyo: Wafanyakazi wa mabasi ya Superfeo

Onyo: Wafanyakazi wa mabasi ya Superfeo

0713....linakuwasha?au unataka kufumuliwa linda la mtandao wa fb bureee?ukalie 2 acha genyemshindo,
kwahiyo ww vile vipost vyako vya kuiponda songea ni tabia gani?
acha upumbavu acha kudharau wanawake na acha shobo za kishamba

kama tigo inakuwasha endelea kuandika vitu vya kijinga. Super Feo ni kampuni ya uhakika. Acha ubwege.
 
wewe ni mara yako kusikia kashfa hizi ila kumbuka haupo peke yako kwenye dunia unataka kila kitu usikie wewe ni MUNGU?
kama halijakukuta wewe ujue limemkuta mwenzio,
afadhali hapa umekuja na la maana kidogo kuliko mchango wako uliopita all in all sijaiponda superfeo kwa ujumla wake bali kwenye upande wa parcels.
usikurupuke ndugu,

Sijakurupuka katika hili mkuu, najua kuna watakaokuja kuniunga mkono katika hili, by the way umeshapatiwa mawasiliano ya bosi wa Super Feo unapata kigugumizi gani kuwasiliana nao ili lalamiko lako lifanyiwe kazi? Au umeamua kuwachafua tu kwa chuki zako binafsi,.

Sijaona sababu ya kuwafungulia uzi,.
 
wewe ni mara yako kusikia kashfa hizi ila kumbuka haupo peke yako kwenye dunia unataka kila kitu usikie wewe ni MUNGU?
kama halijakukuta wewe ujue limemkuta mwenzio,
afadhali hapa umekuja na la maana kidogo kuliko mchango wako uliopita all in all sijaiponda superfeo kwa ujumla wake bali kwenye upande wa parcels.
usikurupuke ndugu,

Sijakurupuka katika hili mkuu, mimi ni mteja mzuri wa Super Feo na sitakaa kimya kuona wakichafuliwa pasipo sababu, najua kuna watakaokuja kuniunga mkono katika hili, by the way umeshapatiwa mawasiliano ya bosi wa Super Feo unapata kigugumizi gani kuwasiliana nao ili lalamiko lako lifanyiwe kazi? Au umeamua kuwachafua tu kwa chuki zako binafsi,.

Sijaona sababu ya kuwafungulia uzi,.
 
kama tigo inakuwasha endelea kuandika vitu vya kijinga. Super Feo ni kampuni ya uhakika. Acha ubwege.

sasa endelea kutojiheshimu alafu uone ntakachokufanya,uje kuhadithia wenzako...kwahyo we ndo mtu wa media wa superfeo?kuwa makini bro kama ndo wewe uliyefungua parcel zangu kuna siku utajua kwanini niliandika humu hii nyuzi
 
Sijakurupuka katika hili mkuu, mimi ni mteja mzuri wa Super Feo na sitakaa kimya kuona wakichafuliwa pasipo sababu, najua kuna watakaokuja kuniunga mkono katika hili, by the way umeshapatiwa mawasiliano ya bosi wa Super Feo unapata kigugumizi gani kuwasiliana nao ili lalamiko lako lifanyiwe kazi? Au umeamua kuwachafua tu kwa chuki zako binafsi,.

Sijaona sababu ya kuwafungulia uzi,.

tatizo ulikuja kwa lugha chafu na ndo nikalazimika kukujb unavyotaka,kiukweli sijakataa kuwa hawa jamaa wapo vizuri ila maana yangu kubwa ni kuwa kwenye wengi pana mengi,kma parcel wnafngua jnia itakuwa superfeo?!kaa ujue kuna baadh hawana uaminifu na hao ndio nnaowalenga,kuhusu kuwacliana na viongoz wao nimeshaongea nao tayari,
kikubwa wewe na huyo Mjasiliamalimdogo hamuna mamlaka ya kumsafisha aliyechafuka bali matendo yake ndio yatamsafisha hivyo wacrudie hili jambo tena
 
Last edited by a moderator:
mkuu chakii muda utaongea na utaona sababu ya kufunguliwa kwa uzi huu siku yakikukuta tatizo wewe hujaathirika na chochote ila mimi ndio niliyepata hasara
 
Last edited by a moderator:
0713....linakuwasha?au unataka kufumuliwa linda la mtandao wa fb bureee?ukalie 2 acha genyemshindo,
kwahiyo ww vile vipost vyako vya kuiponda songea ni tabia gani?
acha upumbavu acha kudharau wanawake na acha shobo za kishamba

Mpe za uso na akome!
 
Wee Endelea Kuwasema Sema Tu. YOTE YOTE NADHANI MAMA SPIKA AMESKIA ATAWAMBIA VIJANA WAKE WAJIREKEBISHE.
 
pole sana mtoa mada,dawa ya uovu ni kuwekwa wazi kweupeee ili kuisaidia na jamii ielewe,
kusema kweli hii tabia hawa watu wanayo wala hawasingiziwi,mi mwenyewe yalishawahi nitokea cha muhimu ni kuwakemea wale wenye tabia hizi ambao wanaipaka tope kampuni ya mabasi ya superfeo..
naona wengine povu linawatoka nafikiri kama watakuwa sio wahusika basi itakuwa michepuko ya wahusika inatetea mabwana zao
 
tatizo ulikuja kwa lugha chafu na ndo nikalazimika kukujb unavyotaka,kiukweli sijakataa kuwa hawa jamaa wapo vizuri ila maana yangu kubwa ni kuwa kwenye wengi pana mengi,kma parcel wnafngua jnia itakuwa superfeo?!kaa ujue kuna baadh hawana uaminifu na hao ndio nnaowalenga,kuhusu kuwacliana na viongoz wao nimeshaongea nao tayari,
kikubwa wewe na huyo Mjasiliamalimdogo hamuna mamlaka ya kumsafisha aliyechafuka bali matendo yake ndio yatamsafisha hivyo wacrudie hili jambo tena

Unaijua lugha chafu wewe mpuuzi wahedi,..
 
Last edited by a moderator:
Unaijua lugha chafu wewe mpuuzi wahedi,..

naona una element za kiCHOKOz unataka kusuguliwa tundu a.k.a kiduara,sasa endelea!hukuitwa hapa na heshima ainunuliwi dukani,
 
pole sana mtoa mada,dawa ya uovu ni kuwekwa wazi kweupeee ili kuisaidia na jamii ielewe,
kusema kweli hii tabia hawa watu wanayo wala hawasingiziwi,mi mwenyewe yalishawahi nitokea cha muhimu ni kuwakemea wale wenye tabia hizi ambao wanaipaka tope kampuni ya mabasi ya superfeo..
naona wengine povu linawatoka nafikiri kama watakuwa sio wahusika basi itakuwa michepuko ya wahusika inatetea mabwana zao

ahsante mkuu Happycuit hawa wasnger waache wazidi kunivuruga hawa watakuwa vyakula vya hao wafanykz wa superfeo au ndo wadokozi wenyewe pumbvu zao
 
Last edited by a moderator:
wadau maoni yenu tumeyapokea ila tumesikitishwa na lugha zinazotumika na wadau wetu tumewahi kupokea malalamiko ya mizigo kwakua super feo ni kampuni kubwa lazima vitu kama hivi vitokee mara moja moja eiza kwa uzembe au bahati mbaya but kwa kesi nyingi huwa zinakua solved ila kuna nyingne huwa zinakua ngumu mfano mtu analeta pacel keshaifunga anasema ameweka vifaa vya computer kwa kutomfedhehesha mteja na kumwamini mzigo unasafirishwa ikitokea bahat mbaya umepotea anapokuja kudai anasema kulikua na laptop wakat risit imeandikwa vifaa vya computer na kuna kesi moja ilikua ni bahati mbaya mizigo ilikua bahat mbaya buti ilifunguka kwenye kona za kifanya box likaanguka likafunguka na vilivyomo ndani vikamwagika bahati nzuri viliokotwa na mwenye mzigo aliitwa na kuambiwa tatizo na akaambiwa aorodheshe vitu vilivyokuemo ili kama kuna upungufu alipwe ye akataja vitu ambavyo havikuwepo kwenye risiti iliyokutwa ndani ya box baada ya box hilo kuanguka huyu unamlipaje wadau? tunaomba wadau wetu mnapotuma mizigo na nyie muwe wakwel kwa kilichomo ndani msitegemee kulipwa kwa kudanganya pole sana kwa mdau wetu unaedai kuwa umepotelewa mzigo ila czan kama umefika kuleta malalamiko kama unavodai tafadhari wasiliana na utawala kama una hilo tatizo namba zipo nyuma ya risiti ya mzigo au tiketi tunapenda maoni yenu wadau tunawapenda wasafiri wetu na wadau wetu wote ili kampuni yetu ikue na vijana waendelee kupata ajir.
 
Wee Endelea Kuwasema Sema Tu. YOTE YOTE NADHANI MAMA SPIKA AMESKIA ATAWAMBIA VIJANA WAKE WAJIREKEBISHE.

sizani kama uyo mama anahusika na kampuni hii ya mabasi tembelea ofisi kwetu tukusibitishie hilo.
 
Ndugu wana jamvi habarini za mchana,

Nimeona leo bora nisikae kimya kuhusiana na huu uchafu unaofanywa na wafanyakazi wa superfeo kwa ruti ya DAR-SONGEA na DAR-MBINGA kuna tabia ya wizi munayoiafanya hasa kwa wateja wanaotuma mizigo.

Juzi nimetuma mzigo (na ticket ipo) nyinyi mumefungua na kuiba baadhi ya vitu vilivyomo,msione vingi mkajua havihesabiwi.

Ya kwanza nilinyamaza hii safari ya pili sasa mnafanya hivyo taarifa zipo polisi na kwa mabosi wenu tayari kama reference,sasa mkiendelea na hizo tabia nitawashughulikia vizuri tu.

Nawajua wote wa hapo UBT,SBT na MBINGA.

USHAURI: MUWE WAAMINIFU KTK KAZI JUA LIKIZAMA MTAJUTA.

hatuna ofisi ya pacel UBT kama ulituma ubungo kwa jina la super feo uliingia mikononi mwa wajanja ofisi za super feo za pacel zipo kariakoo.
 
wadau maoni yenu tumeyapokea ila tumesikitishwa na lugha zinazotumika na wadau wetu tumewahi kupokea malalamiko ya mizigo kwakua super feo ni kampuni kubwa lazima vitu kama hivi vitokee mara moja moja eiza kwa uzembe au bahati mbaya but kwa kesi nyingi huwa zinakua solved ila kuna nyingne huwa zinakua ngumu mfano mtu analeta pacel keshaifunga anasema ameweka vifaa vya computer kwa kutomfedhehesha mteja na kumwamini mzigo unasafirishwa ikitokea bahat mbaya umepotea anapokuja kudai anasema kulikua na laptop wakat risit imeandikwa vifaa vya computer na kuna kesi moja ilikua ni bahati mbaya mizigo ilikua bahat mbaya buti ilifunguka kwenye kona za kifanya box likaanguka likafunguka na vilivyomo ndani vikamwagika bahati nzuri viliokotwa na mwenye mzigo aliitwa na kuambiwa tatizo na akaambiwa aorodheshe vitu vilivyokuemo ili kama kuna upungufu alipwe ye akataja vitu ambavyo havikuwepo kwenye risiti iliyokutwa ndani ya box baada ya box hilo kuanguka huyu unamlipaje wadau? tunaomba wadau wetu mnapotuma mizigo na nyie muwe wakwel kwa kilichomo ndani msitegemee kulipwa kwa kudanganya pole sana kwa mdau wetu unaedai kuwa umepotelewa mzigo ila czan kama umefika kuleta malalamiko kama unavodai tafadhari wasiliana na utawala kama una hilo tatizo namba zipo nyuma ya risiti ya mzigo au tiketi tunapenda maoni yenu wadau tunawapenda wasafiri wetu na wadau wetu wote ili kampuni yetu ikue na vijana waendelee kupata ajir.

Binafsi naiamini sana kampuni ya Super Feo!

Labda niwashauri mfanye kuhakiki mzigo wa mtu kabla hamjausafirisha ili kuepuka malalamiko ya kupote kwa mzigo usio wa kweli!

Mfano, mtu kasafirisha viatu anakuja kusingizia ni mzigo wa simu.

Zingatieni hili kuepuka usumbufu,.

Kila la kheri katika huduma zenu.
 
Ndugu wana jamvi habarini za mchana,

Nimeona leo bora nisikae kimya kuhusiana na huu uchafu unaofanywa na wafanyakazi wa superfeo kwa ruti ya DAR-SONGEA na DAR-MBINGA kuna tabia ya wizi munayoiafanya hasa kwa wateja wanaotuma mizigo.

Juzi nimetuma mzigo (na ticket ipo) nyinyi mumefungua na kuiba baadhi ya vitu vilivyomo,msione vingi mkajua havihesabiwi.

Ya kwanza nilinyamaza hii safari ya pili sasa mnafanya hivyo taarifa zipo polisi na kwa mabosi wenu tayari kama reference,sasa mkiendelea na hizo tabia nitawashughulikia vizuri tu.

Nawajua wote wa hapo UBT,SBT na MBINGA.

USHAURI: MUWE WAAMINIFU KTK KAZI JUA LIKIZAMA MTAJUTA.
Umetumwa wewe na mchina wa New Force au Mbeya Express au Sai Baba!Super Feo ni huduma ya uhakika na sasa kuna Songea Dodoma
 
Mkuu watu kama hawa huwa hawakosekani,.

Wameajiriwa kwa ajili ya kuchafua watu.
 
Ukisoma comment za pro-superfeo ni matusi na kejeli za kwenda mbele bila kujali zina athali gani kwa jamii nzima hasa watumiaji wa vyombo ya usafiri na sidhani kama boss wenu omary anajua mnavyotukana hapa jamvini.
Si kila anayekukosoa anakuchukia bali tumia mapungufu yenu kubadilika na kuyafanyia kazi la sivyo mshindani wenu mbeya express na new force atawatake over.
 
Back
Top Bottom