Onyo: Wafanyakazi wa mabasi ya Superfeo

Onyo: Wafanyakazi wa mabasi ya Superfeo

DullyJr

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
13,993
Reaction score
11,879
Ndugu wana jamvi habarini za mchana,

Nimeona leo bora nisikae kimya kuhusiana na huu uchafu unaofanywa na wafanyakazi wa superfeo kwa ruti ya DAR-SONGEA na DAR-MBINGA kuna tabia ya wizi munayoiafanya hasa kwa wateja wanaotuma mizigo.

Juzi nimetuma mzigo (na ticket ipo) nyinyi mumefungua na kuiba baadhi ya vitu vilivyomo,msione vingi mkajua havihesabiwi.

Ya kwanza nilinyamaza hii safari ya pili sasa mnafanya hivyo taarifa zipo polisi na kwa mabosi wenu tayari kama reference,sasa mkiendelea na hizo tabia nitawashughulikia vizuri tu.

Nawajua wote wa hapo UBT,SBT na MBINGA.

USHAURI: MUWE WAAMINIFU KTK KAZI JUA LIKIZAMA MTAJUTA.
 
watu tunatafuta pesa kwa jasho usiku na mchana nyinyi mnataka vya ubwete,kimbunga kinakuja!hiyo kazi inayowapatia mia mbili za ugali mutaitafuta kwa tochi mchana kweupeee
 
Bwana Omary safisha uozo huu.
 
Mwambieni mbunge wenu aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani Nchimbi awasaidie!!!
 
Ndugu wana jamvi habarini za mchana,

Nimeona leo bora nisikae kimya kuhusiana na huu uchafu unaofanywa na wafanyakazi wa superfeo kwa ruti ya DAR-SONGEA na DAR-MBINGA kuna tabia ya wizi munayoiafanya hasa kwa wateja wanaotuma mizigo.

Juzi nimetuma mzigo (na ticket ipo) nyinyi mumefungua na kuiba baadhi ya vitu vilivyomo,msione vingi mkajua havihesabiwi.

Ya kwanza nilinyamaza hii safari ya pili sasa mnafanya hivyo taarifa zipo polisi na kwa mabosi wenu tayari kama reference,sasa mkiendelea na hizo tabia nitawashughulikia vizuri tu.

Nawajua wote wa hapo UBT,SBT na MBINGA.

USHAURI: MUWE WAAMINIFU KTK KAZI JUA LIKIZAMA MTAJUTA.

Pole ndugu, kuna kipindi nilikuwa natuma box nyingi sana kwenda songea kila wiki, kwa huduma hiyo naweza kusema walikuwa simply the best! boss wao ni mtu anayejua biashara sana hivyo huwa yuko makini sana, nadhani malalamiko yako ulitakiwa uyapeleke mbele, usiache, binafsi sidhani kama wafanya kazi wanaweza kufanya hivyo kwa jinsi bosi wao asivyo na masihara, hao watakuwa vibarua au wajanja wengine! aliyekuwa anachukua mzigo alipoona box imefunguliwa alitakiwa aripoti palepale! usiwaonee aibu wala kumpotezea mtu kwa namna yoyote ile, watanzania ni majanga, kama wale jamaa wafanyakazi wa kampuni yenye tender pale jnia wanafungua mizigo ya watu unategemea nini mkuu, ukistukia ni kumchana tu mapemaa akimwaga unga shauri lake!
 
Mwambieni mbunge wenu aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani Nchimbi awasaidie!!!

hahahhaa, nchimbi tena anahusikaje?...hivi huyu jamaa bado yuko hai, sijamsikia kitambo!
 
Ndugu wana jamvi habarini za mchana,

Nimeona leo bora nisikae kimya kuhusiana na huu uchafu unaofanywa na wafanyakazi wa superfeo kwa ruti ya DAR-SONGEA na DAR-MBINGA kuna tabia ya wizi munayoiafanya hasa kwa wateja wanaotuma mizigo.

Juzi nimetuma mzigo (na ticket ipo) nyinyi mumefungua na kuiba baadhi ya vitu vilivyomo,msione vingi mkajua havihesabiwi.

Ya kwanza nilinyamaza hii safari ya pili sasa mnafanya hivyo taarifa zipo polisi na kwa mabosi wenu tayari kama reference,sasa mkiendelea na hizo tabia nitawashughulikia vizuri tu.

Nawajua wote wa hapo UBT,SBT na MBINGA.

USHAURI: MUWE WAAMINIFU KTK KAZI JUA LIKIZAMA MTAJUTA.

ndyo maana nataka kufungua ofc itayodil na kusafirisha vifurushi tu km DHL ...hya makampuni ya mabasi yanafanya shuhulo zao kienyeji mno hakuna uweledi kbsa
 
Bwana Omary safisha uozo huu.

ama kwa hakika maana inauma sana kuona mtu unatumia nguvu nyingi na akili kutafuta pesa kwa halali lakini kinatokea kikundi cha watu kinatumia nguvu nyingi kukurudisha nyuma,hii sio sawa hata kidogo
 
ndyo maana nataka kufungua ofc itayodil na kusafirisha vifurushi tu km dhl ...hya makampuni ya mabasi yanafanya shuhulo zao kienyeji mno hakuna uweledi kbsa

kweli kabisa mkuu,yaani nashindwa kuelewa kabisa kwanini watanzania hatuheshimu kazi zetu
 
Ndugu wana jamvi habarini za mchana,

Nimeona leo bora nisikae kimya kuhusiana na huu uchafu unaofanywa na wafanyakazi wa superfeo kwa ruti ya DAR-SONGEA na DAR-MBINGA kuna tabia ya wizi munayoiafanya hasa kwa wateja wanaotuma mizigo.

Juzi nimetuma mzigo (na ticket ipo) nyinyi mumefungua na kuiba baadhi ya vitu vilivyomo,msione vingi mkajua havihesabiwi.

Ya kwanza nilinyamaza hii safari ya pili sasa mnafanya hivyo taarifa zipo polisi na kwa mabosi wenu tayari kama reference,sasa mkiendelea na hizo tabia nitawashughulikia vizuri tu.

Nawajua wote wa hapo UBT,SBT na MBINGA.

USHAURI: MUWE WAAMINIFU KTK KAZI JUA LIKIZAMA MTAJUTA.

tuache tabia za kike. Hv ofisi zao huzijui au bosi wao humjui. Mpigie Omary M. Msigwa 0754651960 au 0784350523
 
Binafsi ni mara yangu kusikia kashfa kwa kampuni hii ya Super Feo,.

Nawaamini sana na Customer care yao ipo vizuri, kwa kifupi na watu wanaojua nini thamani ya mteja, pia na bosi wao hivyohivyo anathamini sana wateja na yupo radhi kumfukuza kazi mtumishi atakayeshtakiwa na kwake na mteja!

Mkuu uliyeleta uzi huu sidhanni kama una haja ya kupeleka kashfa moja kwa moja kwa wafanyakazi wa Super Feo maana huenda aliingia mtu katikati na kufanya huo wizi, huwezi fahamu but all in all Super Feo is the best kwa route hii ya Songea.
 
0713....linakuwasha?au unataka kufumuliwa linda la mtandao wa fb bureee?ukalie 2 acha genyemshindo,
kwahiyo ww vile vipost vyako vya kuiponda songea ni tabia gani?
acha upumbavu acha kudharau wanawake na acha shobo za kishamba
 
Binafsi ni mara yangu kusikia kashfa kwa kampuni hii ya Super Feo,.

Nawaamini sana na Customer care yao ipo vizuri, kwa kifupi na watu wanaojua nini thamani ya mteja, pia na bosi wao hivyohivyo anathamini sana wateja na yupo radhi kumfukuza kazi mtumishi atakayeshtakiwa na kwake na mteja!

Mkuu uliyeleta uzi huu sidhanni kama una haja ya kupeleka kashfa moja kwa moja kwa wafanyakazi wa Super Feo maana huenda aliingia mtu katikati na kufanya huo wizi, huwezi fahamu but all in all Super Feo is the best kwa route hii ya Songea.

wewe ni mara yako kusikia kashfa hizi ila kumbuka haupo peke yako kwenye dunia unataka kila kitu usikie wewe ni MUNGU?
kama halijakukuta wewe ujue limemkuta mwenzio,
afadhali hapa umekuja na la maana kidogo kuliko mchango wako uliopita all in all sijaiponda superfeo kwa ujumla wake bali kwenye upande wa parcels.
usikurupuke ndugu,
 
Back
Top Bottom