Onyo: Wafanyakazi wa mabasi ya Superfeo

Onyo: Wafanyakazi wa mabasi ya Superfeo

Pole ndugu, kuna kipindi nilikuwa natuma box nyingi sana kwenda songea kila wiki, kwa huduma hiyo naweza kusema walikuwa simply the best! boss wao ni mtu anayejua biashara sana hivyo huwa yuko makini sana, nadhani malalamiko yako ulitakiwa uyapeleke mbele, usiache, binafsi sidhani kama wafanya kazi wanaweza kufanya hivyo kwa jinsi bosi wao asivyo na masihara, hao watakuwa vibarua au wajanja wengine! aliyekuwa anachukua mzigo alipoona box imefunguliwa alitakiwa aripoti palepale! usiwaonee aibu wala kumpotezea mtu kwa namna yoyote ile, watanzania ni majanga, kama wale jamaa wafanyakazi wa kampuni yenye tender pale jnia wanafungua mizigo ya watu unategemea nini mkuu, ukistukia ni kumchana tu mapemaa akimwaga unga shauri lake!

Tarehe mosi mwezi huu walifungua box langu.Kwa bahati mbaya kwake alitaka kunidanganya kuwa box lile halikufungwa.Nikamwambia mimi ndiye niliyefunga box hilo kule kariakoo. Na bado kamba zinaonyesha kuwa zilifungwa na kuna mtu alifungua. Akaleta ubishi nikamwambia wewe si ofisi nipe mtu wa mwisho katika ofisi hii yeye aniambie kuwa halikufungwa. Nikamwita Omary Msigwa mwenye superfeo.Nikamwamweleza alichokieleza kijana wake. Walialazimika kuniomba radhi na kulifunga tena box lang. bahati mbaya ni kuwa hawakuiba kitu chochote kila kitu kilikuwa sawa. Kwa hiyo hawa watu wa Superfeo wana tabia mbaya na inatakiwa uwe mkali unayejua haki yako. Ukiwaachia watakuliza kila mara.
 
Kama mzigo wako ulikuwa salama unalalamika nini?

Hujui wakati mwingine mizigo inafunguka yenyewe on transit?

Acha kulalamikia wakati mzigo wako ulikuwa salama.
 
Tarehe mosi mwezi huu walifungua box langu.Kwa bahati mbaya kwake alitaka kunidanganya kuwa box lile halikufungwa.Nikamwambia mimi ndiye niliyefunga box hilo kule kariakoo. Na bado kamba zinaonyesha kuwa zilifungwa na kuna mtu alifungua. Akaleta ubishi nikamwambia wewe si ofisi nipe mtu wa mwisho katika ofisi hii yeye aniambie kuwa halikufungwa. Nikamwita Omary Msigwa mwenye superfeo.Nikamwamweleza alichokieleza kijana wake. Walialazimika kuniomba radhi na kulifunga tena box lang. bahati mbaya ni kuwa hawakuiba kitu chochote kila kitu kilikuwa sawa. Kwa hiyo hawa watu wa Superfeo wana tabia mbaya na inatakiwa uwe mkali unayejua haki yako. Ukiwaachia watakuliza kila mara.

Aswaa mi mbeya express sk nliwapeleka polic kwa maswala ayoayo na walirudisha vilivyoibwa
 
mwezi uliopita walipoteza tshirt 60 za kanisa la anglican za wakina mama kesi walipeleka polisi na yule konda aliyekabiziwa akakubali kulipa ila bila bosi kujua maana walisema wamalizane bila tajiri kujua. TUWE MAKINI NA HII KAMPUNI KUTUMA MIZIGO MAANA KILA MTU ANALALAMIKA
 
y-n jibu tuhuma hizi mbona mmeanza kuichafua kampuni.
 
Ukisoma comment za pro-superfeo ni matusi na kejeli za kwenda mbele bila kujali zina athali gani kwa jamii nzima hasa watumiaji wa vyombo ya usafiri na sidhani kama boss wenu omary anajua mnavyotukana hapa jamvini.
Si kila anayekukosoa anakuchukia bali tumia mapungufu yenu kubadilika na kuyafanyia kazi la sivyo mshindani wenu mbeya express na new force atawatake over.

kiongozi huyu anaetukana ni mdau tu wa super feo na sisi binafsi hatuelew kwann anatumia lugha kali kiasi hicho cc binafsi hatuwez kufanya haya tumsamehe yy c sehemu ya super feo asichukuliwe kama ni sehemu ya majibu ya jampuni ya super feo
 
mwezi uliopita walipoteza tshirt 60 za kanisa la anglican za wakina mama kesi walipeleka polisi na yule konda aliyekabiziwa akakubali kulipa ila bila bosi kujua maana walisema wamalizane bila tajiri kujua. TUWE MAKINI NA HII KAMPUNI KUTUMA MIZIGO MAANA KILA MTU ANALALAMIKA

tshirt hazikupotezwa ziliibwa baada ya kutokea ugomvi baina ya abiria wetu wakat wa kushusha mizigo wakat kondakta amepeleka mawazo yake kwenye ugonvi alikua kashafungua buti vibaka wakaiba box lilikua na tsht na kondakta aliwajibishwa kwa uzembe na akalipa tsht kwa tarehe iliyopangwa jaman cc ni binadamu na tunapenda kukusolewa ili kuboresha hii huduma
 
Mkuu Omary kuwa makini kampuni itakufa.
 
tshirt hazikupotezwa ziliibwa baada ya kutokea ugomvi baina ya abiria wetu wakat wa kushusha mizigo wakat kondakta amepeleka mawazo yake kwenye ugonvi alikua kashafungua buti vibaka wakaiba box lilikua na tsht na kondakta aliwajibishwa kwa uzembe na akalipa tsht kwa tarehe iliyopangwa jaman cc ni binadamu na tunapenda kukusolewa ili kuboresha hii huduma

Ajirini watu wenye uelewa msiokote vijana wa mitaani watawaulia kampuni libaki jina.
 
Sijakurupuka katika hili mkuu, najua kuna watakaokuja kuniunga mkono katika hili, by the way umeshapatiwa mawasiliano ya bosi wa Super Feo unapata kigugumizi gani kuwasiliana nao ili lalamiko lako lifanyiwe kazi? Au umeamua kuwachafua tu kwa chuki zako binafsi,.

Sijaona sababu ya kuwafungulia uzi,.

Embu acha ushabiki,yeye anatuhabarisha member wa JF ili tujue kuhusu ili jambo, kama hauna hoja si lazima uchangie kila hoja
 
Ukisoma comment za pro-superfeo ni matusi na kejeli za kwenda mbele bila kujali zina athali gani kwa jamii nzima hasa watumiaji wa vyombo ya usafiri na sidhani kama boss wenu omary anajua mnavyotukana hapa jamvini.
Si kila anayekukosoa anakuchukia bali tumia mapungufu yenu kubadilika na kuyafanyia kazi la sivyo mshindani wenu mbeya express na new force atawatake over.

anae toa majibu ya kejel haucki na kampuni ya super feo yeye ni mdau wetu tu kama una kero au maoni juu ya kampuni yetu tafadhari piga cmu hizi
0754 651960,0658 228384,0784 350523 na 0755 198935.
 
binafsi natuma sana mizigo sijawahi kupotelewa au kuibiwa.ila siku hizi wafanyakazi wao kwenye hizi basi hasa wanadada hawana lugha nzuri kwa abilia.

Pia kuna uhuni pale njombe stendi,unaweza ukauziwa siti ambayo kuna mtu alisha lipa.
Maombi yetu kwa wahusika jirekebisheni.hasa hawa makonda wenu wa mabasi yaendayo dar-songea.hawana rugha nzuri
 
Kusema kweli Superfeo wanajitahidi kwa huduma may be hapo kuna kirusi kimeingilia tu. Hata hivyo wawe makini na vibaka!
 
Hii kampuni ilianza kitambo sn na kipindi hicho walianza na trip za kwenda mbeya kwa DCM. Wameweza kutanuka na sasa wana magari makubwa. Kinachoonekana sasa kampuni imeshiba sifa/wateja/fedha hasa baada ya kuondoka kwa makampuni mengine km scandinavia, shabib, tawaqal n.k. superfeo inaonekana kuwa kimbilio la wengi. Hili limewafanya wajisahau sana pengine kwa saabu wana uhakika wataendelea kupata wateja!
Ukichunguza huduma zao zimezungukwa na kero kibao kwa wateja na hii ni ishara ya mtu mwenye kutawala soko!

Huwezi kuamini saivi ukitumiwa mzigo afu uufate ile jioni gari zinapoingia eti unaambiwa uje kuchukua kesho mchana, mzigo hautolewi usiku! Ni wapi duniani kuna utaratibu wa kipuuzi km huu? Au mnafanya biashara za mazingaombwe? Mtu nimekuja kuchukua mzigo wangu nina vitambulisho vyote halali kwanini uniambie nije kesho? Wewe unajua huo mzigo una kitu cha aina gani, je km ni kitu cha kuharibika mapema utanilipa kikiharibika? Hawa jamaa wanafanya kazi km watu wa kale ya 13! Wakati mwingine ni vigumu sana mtu kuamini km haya yanafanywa karne hii! Superfeo badilikeni kabla hatujawakimbia!

ndugu cjajua unazungumzia gari zp znapoingia za mby na iringa au dsm ila kama ni za dsm huwa hatutoi mzigo ucku na kuna tangazo la kuonesha muda wa mwisho kuchukua mzigo ktk ofic zetu na gari za dsm zinapoingia usitegemee kondakta atakupa mzigo hata kama upo hii inatokana na taratibu zetu mpaka mzigo uhakikiwe na mtu wa mizigo na ifahamike umeingia stoo ndipo mtu wa dirishan apewe ripoti kuwa mizigo yote iko salama na muda huo dirisha la mizigo linakua limeshafungwa saa moja jion sasa saa mbili ndo basi zinaingia utapataje mzigo na kama ni vitu vya kuharibika huwa vinatolewa taarifa na vinaandikwa ili hata ubebej wake uwe wa uangalifu na ikiwa hivyo kuna taratibu zake za ww kupewa mzigo wako sabab ofis yetu haina uwezo wa kuifadh vtu vinavyowahi kuharibika sasa wateja wetu wamekua na tabia ya kutosema ukwel juu ya kilichomo kwenye mizigo yao na mtu anakuja kutaka mzigo kinguvu usiku wakat gari zimefika na ofisi ya mizigo imefungwa wadau hii ni sawa na kwenda benk kutoa hela kwa chek saa nne ucku alaf ukutane na mfanyakaz wa benk akupe utaratib uanze kulaumu kuwa wamekubania kuchukua hela zako.
 
Binafsi ni mara yangu kusikia kashfa kwa kampuni hii ya Super Feo,.

Nawaamini sana na Customer care yao ipo vizuri, kwa kifupi na watu wanaojua nini thamani ya mteja, pia na bosi wao hivyohivyo anathamini sana wateja na yupo radhi kumfukuza kazi mtumishi atakayeshtakiwa na kwake na mteja!

Mkuu uliyeleta uzi huu sidhanni kama una haja ya kupeleka kashfa moja kwa moja kwa wafanyakazi wa Super Feo maana huenda aliingia mtu katikati na kufanya huo wizi, huwezi fahamu but all in all Super Feo is the best kwa route hii ya Songea.

Nyie ndio mnaharibu sasa, mtu kasema na ushahidi anao na taarifa katoa sasa ukisema labda kaingia mtu mwingine kwenye mzigo uliokabidhiwa ofisi si ndio uzembe huo wa ofisi!!!!!
 
tshirt hazikupotezwa ziliibwa baada ya kutokea ugomvi baina ya abiria wetu wakat wa kushusha mizigo wakat kondakta amepeleka mawazo yake kwenye ugonvi alikua kashafungua buti vibaka wakaiba box lilikua na tsht na kondakta aliwajibishwa kwa uzembe na akalipa tsht kwa tarehe iliyopangwa jaman cc ni binadamu na tunapenda kukusolewa ili kuboresha hii huduma

Kibaka anafikaje kwenye buti kampuni kubwa kama hiyo????!!!!
Mnashindwa kuweka ulinzi wa kuaminika????!!!!
 
sasa gari linapochelewa kufika anayepaswa kulaumiwa ni nani?ninavyojua mimi superfeo inayotoka songea saa5 hufika mbeya saa12 jioni,na mimi nikiwa na hamu ya kuku wa kienyeji huwa naagiza kutoka songea waniandalie kabisa mimi huku naandaa ugali wangu mkubwa kwa ajili ya kupata dinner yanguvu,juzi kati nimeagiza bahasha ya kuku na imeandikwa kabisa juu mimi nikawah stand kuu saa11 kusubiri kuku wangu ila sijui kulikuwa na foleni sijui walikamatwa na askari njiani na gari likachelewa kufika na kufika saa 1 jioni,sasa naenda dirishani wananiambia hawatoi mzigo muda huo mpaka kesho na chakushangaza wameniona kabsa muda wote nikiwa nasubiri,hapo mwenye makosa nani?siwezi kukubali nile kiporo niliwakomalia vibaya...mpaka wakatoa lakini nilivumilia lugha zao chafu na kashfa,
 
na hii tabia ya kuwaambia watu tulete mizigo stendi alafu ikifika kule mnatulipisha mara mbili pia sio nzuri,utakuta mimi naishi igawilo mbeya na kesho asubuh nataka kusafiri,kwa vyovyote kituo cha karibu mimi kupandia gari ni njiapanda uyole,ili kukataa usumbufu nawajulisha kabisa nina mizigo nasafiri nayo hvyo wananiambia nilete ofisini lakini nikipeleka ofisini wanataka nitoe pesa ya mtu wa kuipakia kwenye gari asubuh eti wanasema kama hutoi hela beba mizigo yako urudi nayo ukiacha hapa nasi tutaiacha hapahapa ijipeleke yenyewe kwenye buti,ndio maana abiria wanaona bora kupandsha njian mizigo yao,kama mimi naamua kupandishia njiapanda pale hamna longolongo gar likifika buti linafunguliwa unaweka mzigo safar imeanza nikiwa na amani na uhakika mizigo yangu ipo salama ktk gari kuliko kuiacha kule unasafiri kwa wasiwasi wa kutokuwa na uhakika kuwa mzigo wako umepakiwa au la.
mi nafikiri hali ya kuwa kampun pekee yenye magari ya mbeya-songea ndio inayowafanya mujione kama TANESCO ya muhongo
 
Back
Top Bottom