Onyo: Usikubali kwenda mikoa hii. Mke usiruhusu mumeo aende. Mimi Tanga na Tabora siendi tena

Mambo ya usiende mkoa fulani niliyasikia zamani sana,nadhani tatizo ni hulka zako maana katika sehemu ulizozitaja karibu zote nimekaa anagalau kidogo sijaona tofauti na Mbeya au Katavi inategemea akili yako tu nimekaa sana Tanga na Tabora ukiamua kukausha unakausha ukiamua kujitia uchizi ni wewe tu mfano Tanga niliamua kua chizi tu ila sio kua ukienda lazima uwe mbio.
 
IMG_20170529_141445_956.jpg
 
Wewe ni kiboko ulazi dam ukiifka sehemu...Je kondom ulikuwa unakumbuka.............
Mchafuzi wa mazingira uyo babu wa tanga ingebidi [HASHTAG]#NYETI[/HASHTAG] zako angekuwekea kwenye [HASHTAG]#Walet[/HASHTAG]
 
Na mkeo anapaligwaa hivooo hivoooo Kama wewe unavyowapaligaa wadada na wake za watuu. Kipimo unachowapimia wenzio nawe utapimiwa sawa na wao. Na familiaa mkiwa wazinzi wotee mnaelewana balaaa usidhani mkeo hajuagi anajuaa semaa anaamua kukuachaa sababu nae anajua ana yakee
 
Back
Top Bottom