Onyo / Tahadhali......

Hahaha hahaha hahah,
Rejao hapinduliki coz kwake nimekufa nimeoza,hata nimfumanie simwachi ng'ooo!
Labda ikitokea aniache yeye wala siogopi aibu lol!
Cheki na J'000 nadhan yuko single!
 

Kuandika thread bila kusalimia members ni utovu wa nidhamu kwa taarifa yako.....
 
Hahaha hahaha hahah,
Rejao hapinduliki coz kwake nimekufa nimeoza,hata nimfumanie simwachi ng'ooo!
Labda ikitokea aniache yeye wala siogopi aibu lol!
Cheki na J'000 nadhan yuko single!

Naona unanilengesha kwa ID yako nyingine, janja ya nyani.
Vipi, tuhamie PM ili tutongozane vizuri?
 



Hivi.........hiri swara ra kura ni ra razima?????????
 
Hivi.........hiri swara ra kura ni ra razima?????????

Riangarie ri Da'Kipipi reo rinauriuza maswari gani ? Arijui kura ndiyo razima, sijui rinataka nini ! Nitarishtaki porispost rikirudia kuuriza!
Arinijui ?
 
Kutokuvaa helmet ukiwa na mpenzi wako ni hatari kwa ubongo wako (lulu anahusika)
 
Kujiendekeza kula chipsi mayai kwa wanaume ni hatari kwa viwango vyao vya kula kitumbua.
duuuh shemeji unakimbiza mbaya...na iyo avatar...nomaa..."this is from me to you"....dedication....lol
 
Kutumia ma BBM, ma Whatssapp Ma FB ma Twitter ma Social network ku Add ma Single Girls and Boys ni hatari kwa Ndoa yako kwani una beep zinaa hapo.
 
Kuandika thread bila kusalimia members ni utovu wa nidhamu kwa taarifa yako.....
Shikamoo emkey.....
Hakikisha kesho unairudisha kamoo yangu...
Sawa eee
 
duuuh shemeji unakimbiza mbaya...na iyo avatar...nomaa..."this is from me to you"....dedication....lol

Hahahahahahahaa ana mpango wa kubadili hadi museeeee R
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…