Cantalisia
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 5,221
- 2,930
Hahaha hahahha,Hahahaaaa
Huu ujumbe umfikie nani??
virungu ndio nini.......?
Nani kakupa cha mchana wakati cha mchana wakati Rejao yuko Dodoma???Hahahah hahaha hahha,
Swaiba ndoa yangu iko imara kupita kiasi,
Jiulize tangu asubuhi sijaonekana hapa nilikua wapi,
Ngoja nipumzike kidogo maana cha mchana kilikua cha ukweli lol!
Kalakabaho kwan wajua mie niko wapi?Nani kakupa cha mchana wakati cha mchana wakati Rejao yuko Dodoma???
Papaa hali chipsi mayai na ndio maana nimetulizana kwake lol!Haaaa mbona ni kama linampata papaaa mukuru musee ya sisiemu
Hahahah hahaha hahha,
Swaiba ndoa yangu iko imara kupita kiasi,
Jiulize tangu asubuhi sijaonekana hapa nilikua wapi,
Ngoja nipumzike kidogo maana cha mchana kilikua cha ukweli lol!
Hureeeeeeeeeeeee
CCM haihusiki na ndoa yangu bana,Umeathirika na CCM, kujifariji kuwa chama lao liko imara kupita maelezo.
Nipe moyo wako mrembo, nakuhakikishia kuwa hutajuta... Acha kukumbatia mbuyu.
Kunywa pombe ovyo,utatoa siri zako
D.A missing u sana lol!Hii naikubali sana halafu kesho yake unajuta kwanini nilisema hivi na vile
Alafu unaishi nyumba ya tembe.Tena unashabikia wakati unamiliki Phoenix
CCM haihusiki na ndoa yangu bana,
BTW,moyo wangu nimemkabidhi Rejao he is one and the only,
Labda usubiri nikiachika kitu ambacho sikitarajii kwa maraha tunayopeana kwa sasa!
Swaiba nawe!ndio nn kunitongoza live mke wa mtu tena hata woga huna lol!
kesho mbali,usiku huohuo ukiamka kwenda chooni kujisaidiaHii naikubali sana halafu kesho yake unajuta kwanini nilisema hivi na vile
kesho mbali,usiku huohuo ukiamka kwenda chooni kujisaidia
D.A missing u sana lol!
Umeadimika sana dada,mzima lkn?