ONYO: Sipendi comments za matusi, kejeli, kwenye thread zangu

ONYO: Sipendi comments za matusi, kejeli, kwenye thread zangu

Wewe Kama nani kuwapangia wadau juu ya Nini Cha kuandika katika bandiko lako
Hauwezi kamwe kuzuia uhuru wa mtu wa kutoa maoni yake
Either ukitaka bila kupingwa au kutukanwa usipandishe bandiko lolote.
 
sasa si ungeandika uka bandika chapisho chumban kwako ili uwe una sifiwa na mkeo tu madam umelileta hapa kubaliana na hali ya hapa lolote uta ambiwa ni vile upo mbali tu ata makofi unge pigwa
🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom