Onyo la Busara: Ukiwa na Mpenzi wako au mume au mke popote pale usivimbe au kujisifia na ukadharau watu. Ulipo tupo ulipo wapo

Wadiz

JF-Expert Member
Nov 10, 2022
5,490
11,252
Shalom,

Katika maisha enenda kwa namna njema na ipasayo hasa katika mtazamo wa kibinadamu na katika Mungu, heshimu watu, salimia watu usivimbe na usijione una mpenzi mzuri na uko level za juu.

Kisa kiko hivi nina jirani yangu dogo mmoja hivi ni Mhaya(Ishomile) kama kawaida mimi mama yangu ni Mhaya pia, sasa bahati nzuri huwa namchana mama kuhusu tabia zao mi sio mfuasi wao.

Huyu dogo anaishi na demu wake, yeye alishahitimu chuo hapo mjini ila demu wake anasoma yuko mwaka wa mwisho program fulani yenye usistaduuz sana.

Mara kadhaa nimeona ishara ya demu wa huyu dogo ananipenda sana kiasi kwamba any emergency nikimuona amevaa nguo sio anarudi fasta ndani kwenda kubadilisha, huvaa mavazi mafupi ya kimtego sana nisipokuwepo au nikiwa ndani.

Awali nilidhani ni heshima tu ambayo haina connection na hisia za mapenzi.

Huyu dogo mwenye demu ni mtu wa kuvimba sana, na anaongea sana kuwa akipiga demu hachomoi na anapiga mademu wakali as per stories japo hao mademu siwaoni mostly anajikweza tu.

Sasa bhana jana dogo kayatimba misifa mingi sana kwenye bar fulani hapa hapa Jiji la shughuli na mamboz.

Ninavyoandika hapa naenda kupata supu na mtori naenda kula sambusa ya demu wa huyu dogo na mrejesho ntawapa maana huyu demu hata yeye amekiri amesubiria sana hii fursa ifike.

Kuwa mstaraabu na gentleman kunaepusha mengi ila ukivimba sana watu wanaruka ulipo tupo ulipo wapo, kama unaweza basi tambua wapo wanaoweza zaidi.

Life to infinity that's it.

Mwanaume aliekamilika anajisifu kwa kufanya mambo makubwa yenye tija mfano miradi endelevu ya maendeleo na siyo Kufanya Ngono hovyo na wanawake. Wewe na huyo mwenzio wote ni wapumbavu.
 
Acha ushamba, ungekuwa mjanja nawewe ungetafuta pisi yako kali kwa jasho lako....sio mpk usubiri kushobokewa na pisi ya watu

Tafuta hela,
 
Shalom,

Katika maisha enenda kwa namna njema na ipasayo hasa katika mtazamo wa kibinadamu na katika Mungu, heshimu watu, salimia watu usivimbe na usijione una mpenzi mzuri na uko level za juu.

Kisa kiko hivi nina jirani yangu dogo mmoja hivi ni Mhaya(Ishomile) kama kawaida mimi mama yangu ni Mhaya pia, sasa bahati nzuri huwa namchana mama kuhusu tabia zao mi sio mfuasi wao.

Huyu dogo anaishi na demu wake, yeye alishahitimu chuo hapo mjini ila demu wake anasoma yuko mwaka wa mwisho program fulani yenye usistaduuz sana.

Mara kadhaa nimeona ishara ya demu wa huyu dogo ananipenda sana kiasi kwamba any emergency nikimuona amevaa nguo sio anarudi fasta ndani kwenda kubadilisha, huvaa mavazi mafupi ya kimtego sana nisipokuwepo au nikiwa ndani.

Awali nilidhani ni heshima tu ambayo haina connection na hisia za mapenzi.

Huyu dogo mwenye demu ni mtu wa kuvimba sana, na anaongea sana kuwa akipiga demu hachomoi na anapiga mademu wakali as per stories japo hao mademu siwaoni mostly anajikweza tu.

Sasa bhana jana dogo kayatimba misifa mingi sana kwenye bar fulani hapa hapa Jiji la shughuli na mamboz.

Ninavyoandika hapa naenda kupata supu na mtori naenda kula sambusa ya demu wa huyu dogo na mrejesho ntawapa maana huyu demu hata yeye amekiri amesubiria sana hii fursa ifike.

Kuwa mstaraabu na gentleman kunaepusha mengi ila ukivimba sana watu wanaruka ulipo tupo ulipo wapo, kama unaweza basi tambua wapo wanaoweza zaidi.

Life to infinity that's it.

Wadiz
Unazani sifa
 
Kwa watanzania kama nyinyi, hili ni Jambo la kawaida
images - 2024-03-10T190459.157 (1).jpeg
 
Tunaomba radhi kwa wale wote watakaokwazika, mwandishi yuko sahihi kabisa.

Ndugu Wadiz Ni mgonjwa wetu katika hospital ya crazy for life.

Ambapo siku ya 31/3/24 alifanikiwa kutoroka hospital na kuiba simu za ofisi 3, kisha ana anza kuropoka hovyo.

Tunashukuru kwa ushirikiano wenu na tunaahidi tutalishughulikia swala hili hivyo mvumilienii
images - 2024-03-10T190459.157 (1).jpeg
 
Vitoto vingi vya 2000s ni vi sexual maniac...

Hata mimi nina list ndefu ya ushahidi....

Na haviogopi kitu, vinaweza vikajua kabisa umeoa lakini havijali....

Vingi vimeathiriwa na pono, vinatazama pono kama havina akili nzuri..

Kisha vinataka viishi maisha ya kama kwenye porns (I fuc*ed my neighbour, my step sis is pervert, my sweet step mom, my sweet step dddy, step bro banged me) nk.

Hivyo hapo lofa ni wewe, sio yeye, yeye anaona kama anaenda kufulfil fantasy yake..
 
Back
Top Bottom