Tumaini Jipya
JF-Expert Member
- Jan 25, 2011
- 379
- 125
Inategemea na mtu mi nauza legal and good conditional devices na sijawahi lalamikiwa
Hata sasa nina samsung duos iphone 4s na nokia asha 302
Duos unauzaje mkuu? Ni laini mbili sio?
Inategemea na mtu mi nauza legal and good conditional devices na sijawahi lalamikiwa
Hata sasa nina samsung duos iphone 4s na nokia asha 302
Duos unauzaje mkuu? Ni laini mbili sio?
Kumekuwa na matangazo mengi sana yahusuyo mauzo ya simu na vitu vingine,
ila mimi nitaongelea zaidi kwenye simu,
simu nyingi zinazouzwa humu ni vimeo utakuta mtu anajua kimeo kinaelekea kumfia anakitupia huku,
juzi kuna jfmember nusu nimpeleke polisi kama si huruma iliyonijia ghafla,
wengi wanauza vimeo vilivyoshindikana au cm za kuungaunga kwa mafundi!
USHAURI:Tuache uvivu twende madukani,simu mpya na guarantee bei rahisi,tupunguze tamaa za kupata vitu vizuri kwa bei za kutupa
Inategemea umenunua kwa mtu wa namna gani
Huyu BINTI Pritty wa joseph nimenunua sim kwake zaidi ya tano na zote ziko vizuri usiwaharibie biashara kama yamekukuta taja jina
namkubali huyo dada ameniuzia cm yan mpaka leo napewa cfa nzuri kwa ajir yake