Uji tayariuzi tayari
Mtuache sasa, mlikuwa mnatuta FLAT SCREEN, sasa tunawaletea mkitakacho.Mloganzila wanajitangaza kwamba wanataka kuanza kukuza makalio. Lakini najiuliza, kwa utaalamu upi? Kwa umakini upi? Wa watu wapi? Hawa hawa wanaosahau mikasi tumboni mwa wagonjwa? Hawa hawa wanapasua kichwa badala ya mguu?
Hawa hawa walioshindwa kuwaokoa majeruhi wa ajali ya moto ya Msamvu mpaka wakafa wote? Hawa hawa wanaopasua utumbo mpana wakati mgonjwa anaumwa appendicitis??
Mloganzila wataleta maafa makubwa kwa akina dada ktk huduma yao hii mpya ya kukuza makalio. Mpaka leo kule Uingereza huduma hii Ina 67% ya kufanyika vizuri (operesheni 33% za huduma hii huleta madhara huko Uingereza).
Chonde chonde akina dada mtaoza makalio.
Mtuache, mlikuwa mnatuta FLAT SCREEN, sasa tunawaletea mtakacho.
Mimi hizi taarifa za kuongeza makalio kwangu najikuta nasoma between the lines kwamba; sasa matumizi ya matako ni rasmi nchini na serikali imeamua ku facilitate huduma hiyo kwa kila atakaye na mwenye uwezo.Mloganzila wanajitangaza kwamba wanataka kuanza kukuza makalio. Lakini najiuliza, kwa utaalamu upi? Kwa umakini upi? Wa watu wapi? Hawa hawa wanaosahau mikasi tumboni mwa wagonjwa? Hawa hawa wanapasua kichwa badala ya mguu?
Hawa hawa walioshindwa kuwaokoa majeruhi wa ajali ya moto ya Msamvu mpaka wakafa wote? Hawa hawa wanaopasua utumbo mpana wakati mgonjwa anaumwa appendicitis??
Mloganzila wataleta maafa makubwa kwa akina dada ktk huduma yao hii mpya ya kukuza makalio. Mpaka leo kule Uingereza huduma hii Ina 67% ya kufanyika vizuri (operesheni 33% za huduma hii huleta madhara huko Uingereza).
Chonde chonde akina dada mtaoza makalio.
Kitandani hayo makalio wanayotusema nayo wala hawayatumii, ni "mental war" wako nayo.jamani
Ila wanaume eti wanawatisha Sasa...
Hawajui wanachotaka...
ππHawa hawa wanaosahau mikasi tumboni mwa wagonjwa
Hawa ni mbuziPigia Mbuzi Gitaa
Wewe ni mhujumu uchumi.Mloganzila wanajitangaza kwamba wanataka kuanza kukuza makalio. Lakini najiuliza, kwa utaalamu upi? Kwa umakini upi? Wa watu wapi? Hawa hawa wanaosahau mikasi tumboni mwa wagonjwa? Hawa hawa wanapasua kichwa badala ya mguu?
Hawa hawa walioshindwa kuwaokoa majeruhi wa ajali ya moto ya Msamvu mpaka wakafa wote? Hawa hawa wanaopasua utumbo mpana wakati mgonjwa anaumwa appendicitis??
Mloganzila wataleta maafa makubwa kwa akina dada ktk huduma yao hii mpya ya kukuza makalio. Mpaka leo kule Uingereza huduma hii Ina 67% ya kufanyika vizuri (operesheni 33% za huduma hii huleta madhara huko Uingereza).
Chonde chonde akina dada mtaoza makalio.
Madaktari wengi wa Tanzania kama walivyo wataalam wa sekta karibu zote ni vilaza. Ndiyo maana wenye fedha wanaenda nje. Kupelekwa kutibiwa nao siyo hoja na hata akiwasifu haiwafanyi wawe wazuri.uzi tayari
uzi wako wa ujumla wake una kejeli taaluma ya udaktari na madaktari wa Tanzania..
mapungufu unayosema yanaonesha jinsi gani una chuki binafsi.
Ajali ya Moto .. Mtu akisha ungua 80% ya mwili , hata india huko uwezekano wa kupona ni mdogo.. lakini pia kwenye hiyo ajali wapo walio pona.
Kupasua kichwa badala ya goti. issue ilisha kuwa solved kitambo.. siyo kosa la daktari.. ndiyo maana hao madaktari wapo kazini hadi hivi leo.
Mbona husemi kuhusu kupona kwa prof J, na wagonjwa wengine mahututi,
Mbona husemi kupona kwa yule jamaa alipata ajali ya mwendokasi..
licha ya mazingira magumu, na posho kiduchu na kufanya kazi under pressure ya kisiasa Madaktari wa Tanzania wana jitahidi sana..
Kuhusu hizo operation -
-Kwanza kwa kuanzia watakuwa na madaktari kutoka India
- Ukiona wame amua kufanya hivo, basi ujue wameji ridhisha , na wataalamu wanaweza.
hakuna daktari anayefurahia kufanya kitu kika mdhuru mgonjwa
ni rahis kubwabwaja hapa.. ila siku yaki kufika utapelekwa kwa hao hao madaktari unao wakashfu.. na utakuwa unawasikiliza kwa kila kitu.