QUOTE=Fidel80;]Picha kama hizi TANESCO wangekuwa wanabandika kwenye transfoma ili kutoa onyo.
Kweli mdau. Kama wanavyofanya baadhi ya sehemu Ulaya kwa kuweka mapicha ya mapafu ya binadamu yaliharibiwa na moshi wa sigara,juu ya pakiti za sigara. Hapa Bongo na sehemu nyingi duniani wanatoa onyo tu la kimaandishi. Mapicha yenye kuonesha madhara ya uvutaji au ya uwizi wa nyaya za umeme na mafuta ya transfoma yangekomesha izo tabia.