Onyo!!Kama Kuna ndugu yako mwizi wa nyaya za Tanesco !!

Hawa marehemu walidhani ni nyaya za simu au ndio tena ngumbalo imewaponza.
Najaribu kufikria HT ilivyokatwa ilikuwa inacheza vipi???chukua nyoka umbane kichwa jinsi kiwiliwili kinavyocheza huko nakule HT nizaidi ya hapo na kwa kasi kubwa na moto wa blue ikisambaa na chochote ndani ya mita kumi lazima kipate habari yake!!!!
 
Hivi hao jamaa wa ESCOM bado wana HT za Copper walizokuwa wanatumia ku-transmit DC current, basi naona hao Wazulu zitawamaliza hizo!.
 
Back
Top Bottom