Kama tunavyoamini sisi binadamu kua siku ya mwisho ya hukumu kule mbinguni kwa wenye dhambi watachomwa moto basi hawa jamaa hukumu yao ni tayari! Duh:shocked:
QUOTE=Fidel80;]Picha kama hizi TANESCO wangekuwa wanabandika kwenye transfoma ili kutoa onyo.
Kweli mdau. Kama wanavyofanya baadhi ya sehemu Ulaya kwa kuweka mapicha ya mapafu ya binadamu yaliharibiwa na moshi wa sigara,juu ya pakiti za sigara. Hapa Bongo na sehemu nyingi duniani wanatoa onyo tu la kimaandishi. Mapicha yenye kuonesha madhara ya uvutaji au ya uwizi wa nyaya za umeme na mafuta ya transfoma yangekomesha izo tabia.
Kila nguzo ya umeme duniani kote imeandikwa DANGER/HATARI BY IEEE standard so its danger true and the meaning is 0ne second mistake its to die no more or probability!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.