ONTARIO'S JF Exclusive Interview: Ujasiriamali na harakati za maisha kwa ujumla

Haya ndio niliyo jifunza, kuna so much hype au mihemuko kiasi kwamba vijana wengi wanaweza kuingia kichwa kichwa sababu tuu wanataka kuwa matajiri.

Investment au biashara yoyote lazima iwe na long term visibility otherwise ni hobby tuu.
 
Haya ndio niliyo jifunza, kuna so much hype au mihemuko kiasi kwamba vijana wengi wanaweza kuingia kichwa kichwa sababu tuu wanataka kuwa matajiri.

Investment au biashara yoyote lazima iwe na long term visibility otherwise ni hobby tuu.
 
Huu uzi personally nilishaufunga... Lkn hua kuna watu wanaamkaga asubuhi wanafikiria na kuumiza kichwa wafanye nini ili kila mtu ajue kua wao ni wajing@, yani wanajiapia kabisa kua piga uwa galagala lazima wafanye kitu cha kujidhalilisha.

Unapata wapi utashi wa kusema kua nipo fake wakati watu wanafahamu real identity yangu, watu humu JF wengine tumekutana in person wkt huo wewe ambae upo real hakuna hata mtu anayejua kama wewe ni mwanaume au mwanamker, ajuza au kijana.

Nimeeleza hata biashara ya kwanza niliyotia mikono yng nikiwa shule ya msingi, nikaelezea kuhusu nilivyoanza na elfu 20 kusupply maandazi high school, na mwishoe jinsi nilivyoanza na broilers 50, baadae nilivyoweza kusave mkopo wa chuo kufinance biashara yangu ambayo inakua na kuniingizia profits ambazo nazo nazireinvest.

It's either you are over obsessed with me ama basi una elimu duni sana... Apparently unazungumzia Bil 1 ambayo roughly ni $450,000 (ambayo ni 6 figures) Na mimi nimezungumzia at least 5 figures USD. Huko shule nyinyi mlikua mnaenda kusomea ujing@?? (kwa sauti ya FF).

Alafu unajiita mwanasaikolojia wakati huo huo unadraw conclusions on my behalf. Unaassume kunijua zaidi ya ninavyojijua boss wangu. Psychology 101 - Freud's ego inaelezea zaidi kuhusu saikolojia nyuma ya mtu anayetanguliza self - defence ili kuficha hisia zake halisi, ndicho ulichokifanya kuongea hatred afu mwishoni unajitetea kwa kusema "Sio hater kama unavyodhani" - ulijuaje kama nitadhani wewe ni hater

Kuna mtu aliwahi kusema kirefu na neno haters ni
H - having
A - anger
T - towards
E - everyone
R - reaching
S - success
Mkuu upo nondo kila idara umenikumbusha mbali sana wakati nipo chuoni miaka ile nikisoma somo moja linaitwa PSYCHIATRIC{MENTAL HEALTH}.
kuna kitu kinaitwa defence mechanism ambazo baadhi baadhi ya watu huzitumia lakini kama umesoma hii kitu huhangaiki nao...
Watu kama hawa ni wakupuuza tu.
 
Nlichokiona humu ni kwamba Ontario ana fake mambo mengi sana, mfano utaona hasemi kabisa zile hela za mtaji alikua anatoa wapi na zilianzaje anzaje hadi zikawa hivyo ona anasema alizulumiwa million 6 na mwarab wakati anaanza biashara chuo uku akisahau kua alituambia alikua na kama laki mbili alipotoka jkt akaanza mtaji wa kuku ambao anadai baadae ulikufa tena, you see.

Kila sehemu anasema quotes na misemo tu kama watu wa forever living story nyingi za kujisifia ila hataji mwanzo wake wa kupata alichokipata kilianzaje na ikaendaje hadi kufikia hapo.

Kasema kua ukipenda likes za wanawake atleast uwe na karibu dola laki tano za kimarekani ambazo ni karibu bilion moja, which means yeye anayo, sasa mkuu wewe billion moja unayo? Mbona tukipiga hesabu chapu hapo na kwa muda uliotoka chuo na vile ulivyojielezea kufeli na kufaulu kwako kwenye biashara mzee icho kiasi ukifikishi.

Ontario sisi wengine ni wanasaikolojia tunaweza kukutambua tu fika kwa kusoma maandiko yako na the way unavyojaieleza mkuu kuna vingi unawadanganya hawa na ume exaggrate mambo mengi, sio hata ma hater kama utakavyo zani ila tunachallange validity ya habari zako.
Mkuu uwe unajua kutofautisha katibya digit Tano na laki Tano. Ye amesema account iwe na digit Tano ambazo ni sawa na 10000 USD. Kumbuka alisema amelipa pango 24500 usd.hizi ni digit Tano hapo. Ukiwa unasoma kuwa makini utaepuka makosa madogo mafogo kama hayo

sent from my kimobitel
 
Boss to be honest mimi nimezaliwa familia ya kilokole... baba, mama everyone else is mlokole. Hata mimi ktk udogo wangu nilikua mlokole sana, hkn kitabu nimekisoma vzr kama Biblia, sana.

But as days goes on, kadri ninavyozidi kusoma zaidi zaidi najifunza vitu ambavyo vina ukakasi sana kama wewe si msomaji wa vitu. It's difficult to explain it in 1 post. Lkn bado naenda kanisani mara 1-1
Shukrani sana ndugu, umenipa hamasa kubwa sana ya kuweza kutimiza malengo na ndoto zangu za kutoa mchango mkubwa kiuchumi katika nchi yangu(and I believe one day I will make it)

Well, lengo hasa la reply hii ni hapo nilipo-quote. Napenda sana kuifanya akili yangu kuwa huru kuingiza na kujifunza falsafa na mawazo mbalimbali kupitia vitabu, majarida, websites, documentaries n.k. hivyo nakubaliana na wewe kuhusu dini. Kuna maswali mengi ambayo yananititatiza kuhusu mambo haya lakini bado ni mhudhuriaji wa kanisani jpili hadi jpili.
 
Big up Ontario you real inspired me a lot,Big up sanaa nahitaji kukusikia zaidi ukireply nizidi kuwa motivated,zidi kubarikiwa
 
hahahaahahah kwaio hapa tunashindana sio? kwaio mtu akikosoa au kuchallenge juu ya ukweli wa jambo flani basi atakua na chuki? hahahahahaah sasa nianze vp kumchukia mtu ambae ndio kwanza nimemsoma jana hata simjui? acheni zenu nyie bhana.
20265022_101271700566529_5493573268685759733_n.jpg
 
Back
Top Bottom