ONTARIO'S JF Exclusive Interview: Ujasiriamali na harakati za maisha kwa ujumla

Boss kiukweli hili swali lako nililiona muda mrefu sana... sema nilikua nimechoka mno.

Nikiwa chuo niliishi Mabibo hostel muda wote, ilikua ni cheaper zaidi kwangu hasa ukizingatia nilikua kwenye kipindi cha kujibana ili biashara iende.

Biashara is about seeing a challenge/problem then you design a solution to the problem but through the process you make some money. Nilikuja kugundua kituo cha madaladala cha mabasi ya mkoani kilichokua mataa (barabara ya Mandela) kilihamishwa kutoka mataa hadi Ubungo Riverside.

The challenge/problem
Hii kiuhalisia ni distance ndefu sana hadi Ubungo bus terminal, wasafiri wa mikoani wanapata shida sana kutoka River side hadi kule stand ya mabasi ya mkoani. Hiyo ndio ilikua challenge kubwa sana, na gharama ya pikipiki pale mtu kwakua ana shida ya usafiri anapigwa bei za kibepari kweli kweli, tena mtu anakua na mizigo mingi gharama inaongezeka. Pia wasafiri wakifika Dar wanapata shida kutoka ubungo bys terminal hadi kituo cha kupandia dala dala pale darajani ni mbali sana, na unakuta wana mizigo na uchovu

My solution
Nilifikiria kua ingekua rahisi kusolve tatizo hili kwa kuleta matoroli (trolley) then mizigo ya abiria inabebwa kutoka river side hadi ubungo bus terminal, na pia kutoka ubungo bus terminal hadi kituo cha madaladala cha darajani. Hii ingepunguza gharama kwa msafiri na kumfanya asihangaike kubeba mizigo. Gharama ya kubeba mizigo ingekua 1,000 badala ya bodaboda ambayo ni 3000 hadi 4000 kutokana na ukubwa wa mzigo.

business part
Nilipita kwa fundi welding ambaye alinieleza kutengeneza toroli (trolley) hadi likamilike gharama ni 200,000. Sasa wewe una laki 3 ungebidi upate laki 1 ili iwe laki 4 utengeneze matoroli mawili.

Ningewatafuta vijana wawili ambao hawana ajira na kuwaambia wafanye kazi, nawapa directives kwamba ili wawe competitive na kuwin clients inabidi wabebe mizigo ya wasafiri kwa 1000 tu. Kama mtu yupo sharp sharp basi asubuhi anaweza kupiga trip 10 (Riverside to ubungo bus terminal) na jioni akapiga trip 10 (ubungo bus terminal to darajani). Basi angepata net profit ya 20,000 kwa siku (average).

Ningempa kijana huyu offer akimbize hii biashara kwa siku kama 3 aone raha ya pesa na aipende hii kazi. Baada ya hapo basi angebidi anipe mimi mwenye kokoteni shiling elfu 4 kama faida na yeye abaki na 16,000 faida yake.

4,000 kwa siku 30 za mwezi basi ni 120,000 (tuifanye ni 100,000). Sasa kwakua utakua na mikokoteni miwili basi kwa mwezi utagonga 200,000 ukiwa umekaa bila jasho. Mkokoteni hakuna kununua diesel wala kubadili oil, hakuna kwenda service wala blah blah (so hauna gharama za maintenance fee).

Kila mwezi ukipata laki 2 hauzitumii, badi unaongeza mkokoteni, ambao utaongeza ajira na kukuongezea kipato. Ndani ya muda mfupi sana kama upo focused utakua una average ya mikokoteni 10... na kila mkokoteni unapata 100,000 kwa mwezi (hiyo ni mil 1 bila kutoka jasho).

Umesolve kwa kiasi fulani changamoto ya usafiri, umeajiri vijana kumi na wewe unaingiza mshahara wa mhandisi bila kutoka jasho.

That's the plan... with commitment, patience and hard working unaeza kushangaa inawork 90% efficiently. Mimi ningeweza kufanya lkn kiukweli nilikua tyr nina mambo mengi kama laki na nusu.

--------========-----------

Idea kama hizi kuna mtu atakulipisha pesa
Dah we jamaa ni genious wa biashara! I salute you boss!

sent from TanDaLe
 
Kero yangu kwa wanaotumia kizungu kuuliza au kuchangia chochote.....

Acheni ujinga...

Kuweni wabunifu kwa kutumia maneno ya lugha yeetu...
Ili wengine wacopy.


Jf sio "british council" tumieni lugha inayoeleweka ili kufikisha ujumbe kwa asilimia kubwa....


Au unadhan woote tunajua kizungu nini.

Au ukiandika kiswahil utaonekana sio msomi nini....

Tuendelee ontario..... I

Sent from "La -Vista"
usiwapangie!
by the way katika hiyo phone uliyotumia kupost hakuna maneno ya kiingereza?
humu jf mpaka ume-sign up,umelog-in,na ku-post umetumia maneno yA kiingereza mangapi?
acheni unafiki kama hujui lugha jifunze au omba msaada.
 
Na
Una kipaji cha pekee! Vitabu 64!?! Ila japo kwenye interview ulikataa, mazingira yana determine future ya mtu bana! Sidhani mtu aliye kuwa raised Nyakasanda huko ndani ndani kabisa baba na mama, bibi na babu wote hakuna aliyefika hata makao makuu ya Wilaya kuona japo nyumba zenye sakafu ya cement chini, leo hii aje kuwa na positive thinking kama mtoto aliyekuwa akisoma na kuona story za kina Bilgate kwenye TV!

Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOT
Nafikiri huu ndio upekee ambao unapaswa kuonekana hata kwenye biashara. Kuna watu wanaweza kufanya mambo makubwa kwenye mazingira ambayo kwako wewe ni ya kawaida kabisa. Huyu kijana anatokea Tanzania, nchi ambayo haijajimudu kiuchumi, chi inayoitwa ya ulimwengu wa tatu (sasa linganisha na hiyo hali yako ya Nyakasanda), halafu leo hii anaweza kuwa na mafaniko makubwa kuliko raia wa pale Marekani aliyeko kwenye taifa linaloweza kupigiwa mfano kwenye uchumi hata na demokrasia.

Dalili nzuri ya kijana wa mafaniko ni uwezo wa kutambua mazingira yake na kuyabadili kwa namna anavyoona yeye inafaa kwake. Nimependa sana jibu la Ontario, kwamba hana wa kumlaumu. Yeye ndiyo kila kitu linapokuja suala la maendeleo yake. Haijalishi hali yake. Anaweza kuwa vile atakavyo yeye. Between stumulus and response, there is where you Are (response ability-responsibility). Unaweza ukashindwa kuzuia kichocheo fulanni, lakini namna utakavyo kichukulia kichocheo, ni suala lililo ndanni ya uwezo wako.
 
We jamaa hua ni mnyama sana boss, salute.

Thanks for sharing with us this beautiful read. Watu wataenjoy sana weekend. Again thanks so much. Hicho kitabu nilikinunua nikiwa Durban kwa 1,320 ZAR kipindi kinatoka toka. Lakini leo watu wanakipata bureee. Internet is so powerful.

Tangu jana nimepata copy yng ya kitabu cha DJ Sbu. Yani hiki kama Mwl.RCT Ukikipata basi utakua umesaidia sana watu. Kitabu kitamu nilichokisoma tangu mwaka huu unaanza. Sijafika mwisho lkn naeza kusema hiki kitabu ni sumu. Jamaa is beating red bull, dragon, monster, rock star at their own game.

Hebu kisakanyue boss, mimi nina hardcopy
1fc75049a8e935ab7445909e7e4c4c49.jpg
In critics, this is DJ SBU credo: Ignore nonsense. Focus on what matters. Return hate with love. Kill them with kindness. And bury them with success.
 
Njia rahisi ya kumsaidia kijana yoyote ni kumpa right information and knowledge.

Why is African educational system fail?? Kwakua elimu yetu haitoi specific technical knowledge kwa wanafunzi. Elimu ipo too general kiasi kwamba mwanafunzi hawezi kua productive kupitia hiyo elimu.

Mfano mtu aliyesoma UDBS mambo ya Finance mwaka wa 3 wanasoma kuhusu Forex, lkn masikini ya Mungu wanaishia tu kujua definition hawapati specific technical knowledge. Watu tunafundishwa vitu VYOOOOTE lkn generally. Mimi I want to challenge status quo this way!!!
Ni kweli kabisa Mimi nimesoma economics na tukasoma mambo mengi ila baada ya kupata mwanga wa forex ndo naona faida na matumizi ya zile notes. Ama kweli elimu yetu haina mwanga zaidi. Sasa kwa economics yangu napata urahisi wa kujua trend baada ya economic news.
Mkuu ONTARIO unapenda sana sifa mwanangu,

Ila pamoja na sifa zako za kijinga mwaka huu umenifanya umenifanya nianze kilimo serious sana,


Mkuu sifa zako za kijinga zimefanya kilimo kinipe 10M kwa awamu ya kwanza na sasa nina awamu mbili zinakuja

Moja ntavuna mwezi wa tisa nyingine wa kumi na moja.


ONTARIO hizo sifa zake sasa zimenifanya niwe nasoma vitabu na kufuatilia website za maana tofauti na nyuma nilikuwa mzee wa ubuya mixer mange kimambi

Kwanini mkuu unapenda sana sifa na sasa ume-introduce habari ya forex inaniweka busy na vitabu mpaka basi.


Mkuu tafadhali hebu punguza sifa

Jimmy


Sent using Jamii Forums mobile app
 
ONTARIO you have indeed inspired me a lot in this perfect thread.
Ninapenda sana Ujasiriamali and its my hobby, it is a thing I enjoy a lot doing. However, nilikuwa sijapata right information about this thing.
Sikuwa na tabia ya kusoma vitabu. But now you have brought an impact to me in that angle as well. Nimeanza kusoma vitabu and articles za Ujasiriamaili and Business kwa ujumla. Kitabu hiko cha BILLIONAIRES UNDER CONSTRUCTION kitamu si mchezo, yaani mtu unatamani uendelee kusoma tu. It has much knowledge and skills we as entrepreneurs we need to embrace

Cc ONTARIO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ONTARIO you have indeed inspired me a lot in this perfect thread.
Ninapenda sana Ujasiriamali and its my hobby, it is a thing I enjoy a lot doing. However, nilikuwa sijapata right information about this thing.
Sikuwa na tabia ya kusoma vitabu. But now you have brought an impact to me in that angle as well. Nimeanza kusoma vitabu and articles za Ujasiriamaili and Business kwa ujumla. Kitabu hiko cha BILLIONAIRES UNDER CONSTRUCTION kitamu si mchezo, yaani mtu unatamani uendelee kusoma tu. It has much knowledge and skills we as entrepreneurs we need to embrace

Cc ONTARIO

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hicho kitabu nimejaribu kukidownload nimeshindwa, sorry unaweza kukipandisha tena?
 
Back
Top Bottom