Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,786
- 35,747
tuliza mawenge utaelewa tu kiongoziTycoon maana yake nini maana naona mapicha tu?
tuliza mawenge utaelewa tu kiongoziTycoon maana yake nini maana naona mapicha tu?
Hongera kijana Ontario kwa kupambana na maisha, ila nimkumbushe mtoa mada asome vizuri na ajiridhishe sifa ya mtu kufikia kiwango cha kuitwa Tycoon, ki uchumi...kama ataona amekosea basi abadili kichwa cha habari km ataona yuko sahii basi kiache kama kilivyo wasomi watakung'amua[/QUOTE
Na yeye mwenyew ameeleza kuwa hayupo kibiashara zaid ila yupo kihuduma zaidi,,,kwahyo mkuu umedanganya umma
Mmh sasa ndo umewaza nini hiki??madada zetu! wataliwa saaana kwa hizi taiz dadek..... anajikuta dewji
Hajambo, wa kwako vipi, mzima?Mmeo hajambo?
Kikwete ana u Dr. Wa kupewa na wachina kwa utendaji kazi wake uliotukuka,Ni kwel mkuu jamaa ni Mkulima mzuri na mjasiriamali mzuri na ametengeneza ya ajira za watu wengi kidogo ingawa hajataja idadi kasema tu wakati wa mavuno anaajiri wa tz zaid ya 100 wakat yeye akiwa na umri mdogo lakini bado hajafikia hatua ya kuutwa tycoon,,maana ya tycoon ni kuwa powerfull in that specific business or in that industry and should be wealth na ambapo kijana huyu bado hajafikia kwenye ngazi hyo ila hajitaid anaweza akafika huko ila kumuita tycoon mtampoteza kijana huyu atajiona amefika kumbe bado
Kama nakuelwaaaa vile mkuuNdio kawaida yao,trainers flashing their lavish lifestyle to lure your dumb asses.
Hapana mkuu mi sijaumia hata, coz i have no any effect upon him either niumie or not lakini kwenye ukwel tutasema ukwel,,,lakini ninaimani umekubaliana na mimi ingawa umejibu kisiasaKikwete ana u Dr. Wa kupewa na wachina kwa utendaji kazi wake uliotukuka,
Siyo mbaya na huyu Ontario tukampa jina la Tycool kwa uwekezaji wake ulio tukuka angali bado akiwa kijana mbichi.... Hilo jina la heshima kijana usiumie saaaaaaaaana..... Utakufa kwa presure
Hilo la kukusanya za forex ameanza mwaka huu ila Jamaa Ni mkulima Na mfugaji mzuri tu!MJINI SHULE, UNAKUSANYA HELA ZA SEMINA YA KAMARI HALAFU UNAINVEST KWENYE TRUE PROJECTS

Ulichoona ni kiatu tu?Icho kiatu ni muda sasa wa kuibadili.
Unataka nini...??Jambazi mimi swali langu eti huyu Tanzanian tycoon ni single ama???
Mkuu, mbona unambeza Tanzania tycoon?!Icho kiatu ni muda sasa wa kuibadili.
Saafii, kuna watu mnajua fursa.Jambazi mimi swali langu eti huyu Tanzanian tycoon ni single ama???
Mkuu, kama hautojali, ningeomba ufafanue kidogo.