Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,716
Nikijibiwa ndio nitaeleza ninachokitakaUnataka nini...??
Nikijibiwa ndio nitaeleza ninachokitakaUnataka nini...??
Mkuu nimeona kule unaitwa Dada unasalimiwa mmeo.. mimi siku zote najua wewe ni MwanaumeSaafii, kuna watu mnajua fursa.
Kama huna majibu ngoja nizame kwa PM ya Tanzanian Tycoon...Mkuu hili swali lako lipo Deep sana, lipo nje ya uwezo wangu kulijibu
Mkuu nimeona kule unaitwa Dada unasalimiwa mmeo.. mimi siku zote najua wewe ni Mwanaume[/QUOTE)
Mkuu kuna freedom of speech, mtu anaruhusiwa kusema chochote ili mradi tu havunji sheria za nchi, am not offended though, even females are humans beings, huwa silichukulii kama tusi, ingawa mimi ni male human being.
Huwa sijibu pm...(in ONTARIO voice )Kama huna majibu ngoja nizame kwa PM ya Tanzanian Tycoon...
hahaaaa naonaga hiyo kwenye thread zake za forex lol...Huwa sijibu pm...(in ONTARIO voice )
Thank you.ur very gentle mkuu... pongezi katika hilo.
Joseverest yuko wapi mkuumara ya mwisho kuonekana humu nadhani alikuwa na wewe(joking)Hahahaa noma sana
Yupo hapa amelalaJoseverest yuko wapi mkuumara ya mwisho kuonekana humu nadhani alikuwa na wewe(joking)
Mimi pia nahitaji elimu toka kwake, naomba channel nimfikieje? Contacts?Wenzako wanaomba na kuitafuta elimu kutoka kwake wewe unaomba kazi daah!!
Nenda jukwaa la biashara utaona threads zakeMimi pia nahitaji elimu toka kwake, naomba channel nimfikieje? Contacts?
Hilo la kukusanya za forex ameanza mwaka huu ila Jamaa Ni mkulima Na mfugaji mzuri tu!
Inaonekana umeumia kweli![]()
Pole......
ID tu inaonyesha una uvivu wa kufikiri achilia mbali avatar.
haaa tunaanzaje kumpita mbali lol..Alisema kwasasa yupo single, na mademu wampite mbali, Yuko busy kusaka noti .