Alisema kwasasa yupo single, na mademu wampite mbali, Yuko busy kusaka noti .
haaa tunaanzaje kumpita mbali lol..
[emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Joseverest yuko wapi mkuumara ya mwisho kuonekana humu nadhani alikuwa na wewe(joking)
Yupo hapa amelala
Happy new month[emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Andaa pamphlet ya maelezo ulikokuwa siku zote hizi[emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
utaikita inbox bebeAndaa pamphlet ya maelezo ulikokuwa siku zote hizi
kwako pia mkuuHappy new month
Miss you snYupo hapa amelala
[emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Mimi nahitaji semina ya hii, hizo forex zenu bakini nazo
Ana mashamba balaa mcheki instaMali ya kweli ni Shambani!Kukclic mausi upate hela??
Ndo mana nami meuliza au msukuma[emoji23][emoji23][emoji23]!
!
Huyu tycoon ana viatu pea mbili.
Mganga kasemaIcho kiatu ni muda sasa wa kuibadili.