Ontario(SirJeff): Tanzania's youngest tycoon

Ontario(SirJeff): Tanzania's youngest tycoon

Hivi huyu dogo tapeli yupo wapi?
Ukiusoma huu uzi kweli utatambua baadhi ya wabongo Ni watu flani mandezi Sana yaani mtu from no where aanze kukupa mchongo wa utajiri wakati ana ndugu zake maskini kibao.
Ndio maana wajingawajinga wengi wanatapeliwa kiboya Sana.
Huyu dogo pamoja na mimi kutopenda wizi na utapeli namsifu jinsi alivyowaingiza mjini wajingajinga kibao
 
Back
Top Bottom