Ni Tanzania tu wanawake na watoto wanapigwa mabomu ya machozi kwa kuwa wanatembea kwenda kwenye mtutano wa hadhara. It is only in Tanzania mama mjane asiye na kosa anafungwa jela tena bila dhamana na kwa kosa ambalo hajatenda. It is only in Tanzania polisi anachukua hongo na kumwachia mhalifu hapo kwa hapo huku akimchukua raia mwema asiye na kosa na kumfunga badala ya huyo mhalifu. It is only in Tanzania raia anaweza kukimbia dunia nzima likiwemo la kwenda kushangaa mananasi Ghana, nyanya Brazil, bembea, nk. kwa kutumia kodi za wananchi wake. It is only in Tanzania wananchi wanaoenwa kama wanyama na wasichue hatua yeyote."ONLY IN TANZANIA!
Yapo Maajabu mengi sana...Ila Maajabu Makuu Yaliyo Tanzania ni Haya
1. Mmoja wa Majaji Walioteuliwa kwa Mujibu wa Tundu Lissu Kumbe ndo
kwanza anasoma shahada so darasani nae anasoma"What is Law of Torts"
then anapata SUP...U can Only find in TZ....afu mwalimu wake ni
advocate inakuwaje akimpelekea kesi Jaji wa aina hiyo??
2. Serikali Makini ambayo sio dhaifu ina Watumishi Hewa 9,949
wanaopata Mshahara ambao Jumla ya hela inayopotea ni kama Bil 70
ambazo zingetumika kulipa Madaktari na walimu, lakini Serikali
inasema haina hela, hawana hela ya kulipa walimu na Madaktari ila
wanazo za Watumishi hewa...Only u can find in TZ.
3. Serikali Ya Uingereza Ilirudisha Chenji ya RADA, Serikali ikasema
hela inapeleka Kununulia Vitabu kwa Ajili ya Shule Nchi nzima, Kumbe
Kampuni iliyopewa tenda ya Kusambaza Vitabu nchi nzima ilitoa rushwa
ya US$ 500,000 kupata tender Serikali ya Uingereza imeifungia miaka
7, You Can Only find in TZ.
4. Wanafunzi Waliofaulu Darasa la Saba get me well waliofaulu darasa
la 7 kwenda Sekondary Hawajui Kusoma wala Kuandika, Je waliofeli
Watakuwa hawajui kufanya nini??...You Can Only Find In Tanzania
5. Washiriki wa Michezo ya Kimataifa (sijataja Mchezo wala
mashindano) wako watano (5) lakini wanaowasindikiza Washiriki wako 12
You can Only find in Tanzania......
6. Sehemu Pekee ambaye Mtu uliyetaka Kumdhuru kwa Kukusumbua then
unaomba Umlinde (refer to Dr. Ulimboka's Case)..Yaani Mbwa Mwitu
anaomba kazi ya Kulinda Mbuzi......You Can Only find in Tanzania..
7.Only in Tanzania serekali inaweza kabisa kulipisha watu ushuru wa sticker ya fire
Bila kuuliza kama una huo mtungi wa kuzimia moto wala kukagua gari wala kukupa hiyo sticker
Na wananchi wake wakakubali na kunyamaza tu.
8. Only in Tanzania hata rais hajui ni kwanini raia wake ni masikini?
Yapo Maajabu Mengi sana Lipi nimesahau???" Ongezea Moyoni"
(source kada mmoja wa CCM)
Maandamano ya CHADEMA!
Yapo Maajabu mengi sana...Ila Maajabu Makuu Yaliyo Tanzania ni Haya
1. Mmoja wa Majaji Walioteuliwa kwa Mujibu wa Tundu Lissu Kumbe ndo
kwanza anasoma shahada ya kwanza.
2. Serikali Makini ambayo sio dhaifu ina Watumishi Hewa 9,949
wanaopata Mshahara ambao Jumla ya hela inayopotea ni kama Bil 70
ambazo zingetumika kuboresha maslahi ya watumishi wake, lakini Serikali
inasema haina hela, hawana hela ya kulipa walimu na Madaktari ila
wanazo za Watumishi hewa...Only u can find in TZ.
3. Serikali Ya Uingereza Ilirudisha Chenji ya RADA, Serikali ikasema
hela inapeleka Kununulia Vitabu kwa Ajili ya Shule Nchi nzima, Kumbe
Kampuni iliyopewa tenda ya Kusambaza Vitabu nchi nzima ilitoa rushwa
ya US$ 500,000 kupata tender Serikali ya Uingereza imeifungia miaka 7,
You Can Only find in TZ.
4. Wanafunzi Waliofaulu Darasa la Saba get me well waliofaulu darasa
la 7 kwenda Sekondary Hawajui Kusoma wala Kuandika, Je waliofeli
Watakuwa hawajui kufanya nini??...You Can Only Find In Tanzania
5. Washiriki wa Michezo ya Kimataifa (Olympic-London) wako watano (5) lakini wanaowasindikiza Washiriki wako 12
You can Only find in Tanzania......
6. Sehemu Pekee ambaye Mtu uliyetaka Kumdhuru kwa Kukusumbua then
unaomba Umlinde (refer to Dr. Ulimboka's Case)..Yaani Mbwa Mwitu
anaomba kazi ya Kulinda Mbuzi......You Can Only find in Tanzania..
7.Only in Tanzania serekali inaweza kabisa kulipisha watu ushuru wa
sticker ya fire Bila kuuliza kama una huo mtungi wa kuzimia moto wala
kukagua gari wala kukupa hiyo sticker na wananchi wake wakakubali na
kunyamaza tu.
Ruksa kuongezea maajabu mengine ............

Naona unaogopa kumtaka bcoz of ur I'D ya Mrengo wa kati,ngoja nikusaidie kumtaja,ni SLAA.Ajabu lingine ni pale baadhi ya watanzania kushabikia Padri Mstaafu mwenye elimu ya Theology(elimu ya kusalisha kanisani) eti awe Rais wa Tanzania
Mbowe anafunga safari to uk kufungua tawi la chama(CDM)1. It is only in TZ Rais anasafiri kupita kiasi
2. It is only in TZ Rais anafunga safari ya kwenda kubembea
3.It is only in TZ Rais anafunga safari kwenda kuona Kilimo cha tungule (tomato)
4. It is only in TZ Rais anafunga safari ya kwenda kukagua kilimo cha nanasi .......nk