donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Bia senene
Kumbe wewe mhaya! bila shaka utakuwa na unasibu na Bashiru maana siyo kuitetea ccmEnsenene nenula kushaga enyama.
Sema tatizo lingine litakuwa kunyofolewa kwa ubongo wake.Kumbe wewe mhaya! bila shaka utakuwa na unasibu na Bashiru maana siyo kuitetea ccm
Mtu wa ajabu sana huyu. Kukejeliwa kote na tetemeko, bado jitu lipo tu na ccm, mapambio kwa mtukufuSema tatizo lingine litakuwa kunyofolewa kwa ubongo wake.
acha hizo, hicho ulichokiandika ni kihaya cha ndani! huwezi kukijua kama sio mzawa.kiarabu, Kichina, kiingreza and all those foreign languages tunafundishwa shuleni! siyo kihaya!ahaha Retired kwa hiyo nikiandika(kujua) english au kiarabu tayari nimekuwa Englishman au Arab?
Mimi sio muhaya ila nimekulia huko.
Mambo ya ccm tukutane kule jukwaa la juu sio hapa.
Mtu wa ajabu sana huyu. Kukejeliwa kote na tetemeko, bado jitu lipo tu na ccm, mapambio kwa mtukufu
Kuna wimbo unaitwa nsenene una maneno hayo hayo kwahiyo labda pia kayatoa hukoacha hizo, hicho ulichokiandika ni kihaya cha ndani! huwezi kukijua kama sio mzawa.kiarabu, Kichina, kiingreza and all those foreign languages tunafundishwa shuleni! siyo kihaya!
Yaan bila Shaka mkuu wewe Ni wa hukuEnsenene nenula kushaga enyama.
Wewe inaonesha ni int.62 pale mjengoniKuna wimbo unaitwa nsenene una maneno hayo hayo kwahiyo labda pia kayatoa huko
Haha, hii aka itabidi tu niikubaliMkuu Vasco Da Gama nakutamani sana na tour zako.......