Yaani unaacha kitimoto/kuku/mbuzi unakuja kula wadudu aisee.dah, nishawaionja hao wadudu aisee nilitapika kinoma
Mtu wa ajabu sana huyu. Kukejeliwa kote na tetemeko, bado jitu lipo tu na ccm, mapambio kwa mtukufu
Mkuu, wasalimu hapo jirani Ipinda tafadhaliDuu!! mkuu senene hao umeniamsha arosto an...
Mwaka huu wamegoma kutoka kabsa huku Kajunjumele.... cjui wamenyimwa visa na Bab J au nao vyuma vmekaza(wametumia uzaz wa mpango)...[emoji57][emoji57]
Sawa Mkuu ntawasalim kwa niaba yakoMkuu, wasalimu hapo jirani Ipinda tafadhali