Hata wenye kisukari hupata UKIMWI hata wenye kansa ya Damu hupata UKIMWI.
Dawa ya kuzuia kuambukizana HIV ni kuacha ngono nje ya ndoa.
Hivi kama umeoa au kuolewa
Unaweza tumia kinga 24/7 kwa siku 366?
@thread poster, you obviously have serious problems, you're kind of making a fool out of yourself kama unafikiria kuna type mbili za aids.
Acheni kujidaganya UKIMWI haupo.
POPOBAWA.
Ushauri; usitumie kondom, ingiza kichwa tu bila shingo na usikatikekatike!
loh babu....... word!Soma vizuri basi...sijamwambia aache Ngono, manake najua hawezi ila aache NGONO ZEMBE!
Kubanjuana miaka hii hakuepukiki, basi angalau tubanjuane responsibly!