ukiwa unamla mate na unatamia ya kulamba lamba utakutana na hafuru na ladha za kila aina ha haha

VP Bilione Asigwa naona username umeifanyia colaboteh teh teh
hii hapana aiseee, too much.
That is the words of insensitive men like you! if I am ugly or not does not mean that you are insensitive ugly bitch!Probably you also look ' Ugly ' as She was!!!!!!!
That is the words of insensitive men like you! if I am ugly or not does not mean that you are insensitive ugly bitch!
Kwa kweliNa mkomeeee
hahahahahahaNakumbuka kuna mmoja nilitongozana nae hivi hivi kupitia Mitandao kisha tukakubaliana kukutana pale katika Mghahawa wa TARAKEA Mwenge hivyo nilivyokuwa naenda eneo la tukio Mwanamume nikawa kila mara nawasiliana nae ili tusipotezane ndipo wakati nashuka katika Daladala enzi hizo Kituo kilikuwa pale pale mkabala ( jirani ) ndipo nikampigia tena yule Demu na kumuuliza yupo wapi tukawa bado tunapotezana nikamwambia hebu panda hapo juu katika hizo ngazi za TARAKEA ili nikuone vizuri nije. Nilichokiona baada ya hapo si Binadamu bali ni Kituko tupu. Dada niliyekuwa nachati nae Mtandaoni ni Mweupe tiiiiiii sasa huyu niliyekuwa naenda kupeana nae ushirikiano wa kukutana alikuwa ni mweusi utadhani ni Mkata Mkaa Kibada.
Sasa kibaya zaidi kila nami nilipokuwa nautafakari ule Ubaya wake na yeye ndiyo akawa kila mara ananipigia hivyo nilichokifanya ni kumuonyesha kuwa Mimi huwa sipindishi maneno na mshipa wangu wa aibu ulishakatwa zamani sana Wodi ya Uzazi ndipo nikampa pale pale makavu yake kwa kumwambia kuwa siwezi kuonana na Wewe kwakuwa ni mbaya wa kutukuka na sikutaki na tusisumbuane tena na nakumbuka kilichofuata hapo ni bonge la msonyo ambao ulifanya hadi Simu yangu ikazima ndipo nami nikaona pia ni fursa adhimu ya Mimi kubadili namba ili niepuke Kero zake.
Jamani japo Vitabu vya dini vinasema kuwa Binadamu wote ni sawa ila Mimi sikubaliani nalo kwani ni ukweli usiopingika kuwa kuna Watu ni Wabaya duniani hakuna mfano.
Haya maswala yapo kisaikolojia zaidi, kama nia yako ni kutimiza haja zako za mda mfupi hii haina madhara maana make up zitasaidia kuchochea hisia ili ufike mbali zaidi, ukistukia kesho yake unakua umeshamaliza tatizo lako, unless kama unataka kuoa. Maswala ya kisaikolojia acha tu, mtu unakua upo bed na kimtu cha ajabu ajabu lakini ili ufike unakotaka kufika unafumba macho na kuvuta picha ya Mrembo mwingine kama Masogang' unamaliza.
Ndo kihaya auyooo! mbe! iwe bojo kazirooo! ishi! heeee! yeto! kiruuuu!
haujambo?...kama dudumizi vile
Sijambohaujambo?
You Think and dont about my Mom( RIP) tena koma kabisa koma kabisa. Kwa nini unakimbilia kwa mama yangu badala ya mimi mwenyewe Son of a Bitch! Tena I tell you Never Ever talk anything anything about my mom never! Mkimbizi mkubwa wee. halafu unakuja kujidai kwenye nchi yetu stupid You!I think your Mum could be that ugly bitch you are talking about!