Hahahaha .....kisha naskia keshaanza na kutoka upara kichwani! Sasa kama hata zile six packs alizokuwa anajisifia nazo zamani hana tena, ...duh! Lakini anajua hommies hamuwezi kumtosa akihitaji mshiko wa kufanyiwa lipo...:lol:
Ngabu anazo nane...lol
Hahaaa Gee sio kama wale bana, zake za 'kisasa'....lolUnawajua wale watu waliokuwa wakibeba vyuma zamani kisha wakitikisa muscles za machuchu? Usinambie nae anaweza? Lol
Most members wanamgwaya Gaijin, una ushahidi gani na ni kina nani? Hao wanaoni ignore umewajuaje wewe? Na hao wananojipendekeza umejuaje na ni akina nani? Kati ya member elfu 10 kadhaa, most ni idadi gani?
Sikusema huwezi kufikia hitimisho hilo kuwa Gaijin is too critical, nilichotaka useme peupeni ni kuwa hiyo ni opinioni yako tu na sio ukweli usio shaka, ili watu wachambue wenyewe kuwa ni opinion wanayoweza kuikubali au ni kumwaga sumu tu. Ulifanya vyema sana kama kwenye post # 16 kwa kueleza wazi kuwa ni opinion yako.
Kwani lazima niku support? Kuna kifungu chochote cha kanuni za JF kuwa nimekikiuka au kukivunja?
Sasa unataka kusema unanijua mimi nilivyo na priviledges zangu nilizokuwa nazo? Na pia unamaanisha unafuatilia kila Gaijin anachokiandika kiasi cha kujua kwa uhakika na kutumia neno "daima"?
Siwezi kukulazimisha cha kuona. Na hiyo ni opinion yako. Lakini inaturudisha kule kule, kuwa inatia shaka kuwa unafuatilia sana anachikiandika Gaijin kiasi cha kujua anachofanya hata kwa posts za member wengine!
Hapa tunarudia pale pale. Hakuna lazima yoyote ya kuwa l nitoe maoni kwenye discussions kwa unavyotaka wewe, wala hakuna kosa la kuuliza masuala with enthusiasm. Watu wanajifunza kwa kuuliza masuala na ni njia moja muhimu katika learning process iliyotumiwa toka enzi na enzi na wanafalsafa maarufu kama kina Socrates.
Don't flatter yourself, you can't even if you try
dah teacher...wishin u happy holidays .... :biggrin:
Heheee Stivu siku hizi nimeajiriwa gym na Ngabu ni mteja wetu...mmm, umeziona wapi wee bht?? nawe unaenda hiyo gym??!!
This hommie of mine these days is kinda in trouble with mother nature you know... unaweza ukachelewesha, but huwezi uka-reverse umri kusonga mbele. Sasa kipara nacho ndo' ivo tena kinamnyemelea tartiiiib!!! Hivi majuzi nimecheck eBay channel yake na Amazon market yake zote naona zimejaa mauzo ya toupee' !!! Kilichonishangaza ni kwamba ads zote zinasema ni x-small size....!!! Ukijiuliza sana hapa unapata jibu kwamba.... "yawezekana kabisa ali-order box kadhaa za toupee kwa ku-underestimate ukubwa wa kipara chake, na hivyo kujikuta haziwezi ku-cover patch yote kichwani. So my hommie has resorted to flogging the lot on eBay!!!" ... of course, this is just my wild guess lol :biggrin::lol:
Most members wanamgwaya Gaijin, una ushahidi gani na ni kina nani? Hao wanaoni ignore umewajuaje wewe? Na hao wananojipendekeza umejuaje na ni akina nani? Kati ya member elfu 10 kadhaa, most ni idadi gani?
Sikusema huwezi kufikia hitimisho hilo kuwa Gaijin is too critical, nilichotaka useme peupeni ni kuwa hiyo ni opinioni yako tu na sio ukweli usio shaka, ili watu wachambue wenyewe kuwa ni opinion wanayoweza kuikubali au ni kumwaga sumu tu. Ulifanya vyema sana kama kwenye post # 16 kwa kueleza wazi kuwa ni opinion yako.
dah teacher...wishin u happy holidays .... :biggrin:
Unawajua wale watu waliokuwa wakibeba vyuma zamani kisha wakitikisa muscles za machuchu? Usinambie nae anaweza? Lol
Kwa hiyo hakuna breast tissue hapo lol. Ni pure, rock hard pec skeletal muscles.
Vipi kwani, unapenda zikichezeshwa eeh?
Sipendi. Naona eeeewwww, mwanamme na machuchu, yaaacky
😀
Heheheee sio chuchu hizo lol
Unavyotetea! Unazo nini? He he he
Japo Bee kasema zako za kisasa...lol
Ndio wewe miaka minne nyuma! 😛
Kwa hiyo unachosema ni kwamba sasa nimezeeka?
Damn you SteveDii....I got a head full of hair.
Wos....................
what?????/
Why not you?Wos....................