Ongezeko la mishahara: Sekta binafsi hatuna Serikali?

Upo sahihi kabisa. Umeongea point sana.

Kuna Kampuni binafsi nilishawahi kufanya kazi, wakikupa Mkataba mojawapo ya vigezo na masharti yao ni usiwe Mwanachama wa TUGHE na mpaka unaondoka usije ukafikiria kujiunga na hiko Chama. Otherwise you're not eligible!
Wanajua tu huko utadai haki zako. Ila kiukweli ni janga la taasisi nyingi sana ambazo zimebase kwenye profit kwanza
 
Therefore we return back to where their aim is to maximize profits and minimize the risk and costs.
 
Yupo sawa, mshahara ukiongezeka serikalini na private pia wanaongeza maana tunaendeshwa na sheria moja Nchi nzima, ila kazi iwe inayotambulika yenye mkataba maana yake kama kima cha chini serikali imesema iwe ni laki na nusu basi hata private itakuwa hivyo na wale wanaofata pia watajikuta wameongezewa, pia sheria za Kodi zinazotumika serikalini ndizo zinazotumika kwa wafanyakazi wa private wenye mikataba ya kazi na wakaguzi wa TRA na Labor wanapita kukagua mikataba ya wafanyakazi kama ipo kisheria, ila kazi za casual au zisizo na mikataba ndo hizo hazitumii kima cha chini cha mshahara.
Nchi hii ina watu wajinga sana, na kwa bahati mbaya unaweza kuta una degree
 
Sector Binafsi hakuna TGDS scale ,ni negotiation tu! Kwahiyo ukiajiriwa sector binafsi jitahidi kunegotiate vizuri na HR.
 
Akili ni nywele, Ila nadhani ww una upara
Mpaka hapo imethibitisha kuwa wewe si contractual employee na wala huongozwi na labour laws za JMT. Wenye akili wanakucheka kwakutofahamu jambo hili dogo ambalo kila mwenye PAE analifahamu. Haya endelea kupambana na casual work yako, utatoboa tu jombaa
 
Tunaamkia wapi sasa?

Tuendelee kupambana na hali zetu… maana tukiulizwa kwani serikalini hamkupaona? Sijui kama tuna majibu
But ni serikali tu imebweteka, mbona Kenya huwa wanawapa private sector ongezeko lao pia na kampunis isipofanya wafanyakazi wakashtaki inaeza hata fungiwa na kuwalipa fidia wafanyakazi kwa ile miezi ambayo hukuwapandishia, shida hata vyama vya wafanyakazi Tz ni ujinga mtupu hawako strong, Kenya unaweza hata kuuawa na wafanyakazi ukiwaibia haki yao, they know their rights
 
It's a matter of time ...hata sector binafsi waliacha kupandisha serikalini walivyoacha.
 
Yupo sawa, mshahara ukiongezeka serikalini na private pia wanaongeza maana tunaendeshwa na sheria moja Nchi nzima, ila kazi iwe inayotambulika yenye mkataba maana yake kama kima cha chini serikali imesema iwe ni laki na nusu basi hata private itakuwa hivyo na wale wanaofata pia watajikuta wameongezewa, pia sheria za Kodi zinazotumika serikalini ndizo zinazotumika kwa wafanyakazi wa private wenye mikataba ya kazi na wakaguzi wa TRA na Labor wanapita kukagua mikataba ya wafanyakazi kama ipo kisheria, ila kazi za casual au zisizo na mikataba ndo hizo hazitumii kima cha chini cha mshahara.
Naona unaongeaa story za kwenye Vitabu kijanaa...
 
Watnzania wamepiga kelele kuhusu kupanda kwa gharama za maisha na kilichotokea ni serikali kutangaza nyongeza kwa watumishi wa umma tu.

Ina maana sisi watumishi wa sekita binafsi hatuna serikali ya kututetea katika hali kama hizi za kupanda kwa gharama za maisha?

kwa mda mrefu tumekuwa tukiona mara watumishi wa serikali wanapewa misamaha ya kdi mbalimbali na hii huwa haieleweki.

ni kwa nini mwalimu anayefundisha serikalini aruhusiwe kuagiza gari kwa kupewa msamaha wa kodi lakini mwalimu anayefanya kazi ile ile kwenye jamii kupitia mwajiri binafsi ni lazima alipe kodi.

SEKITA BINAFSI TUAMKE TUNAHITAJI UMOJA
HATA TUICO SIO KWA AJILI YENU.
°ANZISHENI TUICO YENU.
AMBAO NAAMINI ITAKUWA NA NGUVU KWELI MAANA NINYI NI WENGI KULIKO WA MFUMO RASMI.
 
Naona unaongeaa story za kwenye Vitabu kijanaa...
Hivi huwa mnafanya kazi wapi? Au nikutokujua sheria za kazi na za Nchi? Au mnafanya kazi bila mkataba kati yako na mwajiri? Sasa mnaamua kuchanganya watu wenye mikataba yao? Kazi yoyote yenye mkataba inafata sheria za kazi na sheria za Nchi na ndo inamlinda mwajiri na mwajiliwa, au mnafanya kazi sehemu zilizo nje ya mfumo wa usajili serikalini? Wale waliokatika mfumo wao wameelewa japo ni binafsi bado wanalipa payee, pia wao wanakatwa Nssf na mikataba yao imeeleza Sasa sijui unabisha nini? Wakati Sasa Kila mfanyakazi mwenye mkataba analipa payee TRA na ni lazima ndo maana nikasema TRA wanakuja kuchukua Kodi na kukagua kama huo mshahara unaendana na kima cha chini cha mshahara wa serikali kama sehemu yako ya kazi hufanyiwi hivyo basi jua upo nje ya mfumo wa usajili serikalini.
 
kukatwa paye na nssf sio kigezo cha sector binafsi kufata masharti ya serikali.. uliza watu wangapi wa sector binafsi wanafanya kazi mpaka jpili...wangapi wanafanya overtime na hawalipwi hizo hela.. hizo nssf zenyewe maboss wanakata ila hawapeleki helaa ila HUWEZI KUFANYA LOLOTE zaidi ukitaka maslahi makubwa uache kazi ukatafute kwingine kwenye maslahi unayotaka.
 
Back
Top Bottom