Phlagiey
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 3,487
- 1,651
Habari zenu wakuu kunajambo linanitatanisha sana kwa hizi siku za hapa karibuni,kipindi cha nyuma kidogo nakumbuka wakati nikidownload mp4 kutoka You tube wimbo unakuta una mb labda 12, 15 na kushuka chini, nitofauti na siku hizi uleule wimbo ulio kuwa uki download kwa mb 12 sasa hivi unaupata kwa mb 51.
Nimesha jaribu kujiuliza kwa kweli nimekosa jibu la moja kwa moja sijui kuna nini kinacho endelea, labda kama na wewe unakutana na jambo hili au ni kwangu tu tena sio kwenye computer tu, hata kama nikitumua simu bado janga ni hilo hilo leo nimeamua kuvunja ukimia na kulejea hapa jukwaani tujaribu kupeana mawazo kama kunalolote ambalo nitakuwa sirifahamu.
Ebu tuambizane hapa...................!!!!!!!!!!!!