Ongezeko la mashoga bongo. Tatizo ni nini?

Ongezeko la mashoga bongo. Tatizo ni nini?

Humu ndani kuna mijitu mingine miboya. Hivi kuna sheikh hata mmoja alishatangaza kuwa anafanya haya mambo. Yule mchungaji wa anglican aliyejitangaza kule uingereza una mkumbuka? Serikali yake imemuunga mkono kabisa. Naenda hivi karibuni uingereza nataka nikaone anavyofanania.
Unakijua nilichokiuliza?
Unajua swali langu linahitaji majibu ya aina gani?
Umejiuliza kwanini huyo FaizaFoxy hatoi majibu anabwabwaja tu?

Labda nikuulize wewe
Unajua maana ya kanisa?

Unajua maana ya mchungaji?
Mchungaji anahusikaje na Kanisa?
 
Last edited by a moderator:
Kazi sn watu wanapokua wamepwaya kwa kuunganisha ukristo Na ushoga!
 
Unakijua nilichokiuliza?
Unajua swali langu linahitaji majibu ya aina gani?
Umejiuliza kwanini huyo FaizaFoxy hatoi majibu anabwabwaja tu?

Labda nikuulize wewe
Unajua maana ya kanisa?

Unajua maana ya mchungaji?
Mchungaji anahusikaje na Kanisa?

Kwa mujibu wa dini ya kikristo, kanisa ni nyumba/sehemu ya Bwana. Ni mahali ambapo wakristo wanaamini ni patakatifu kwa kufanyia ibada na mambo yote ya kiroho kama ibada, sala za ubarikio na mazishi.
Mchungaji ndio kiongozi wa kiroho wa mahala hapo patakatifu na hata nje ya hapo. Yeye ndo mchunga wa kondoo wa bwana. Kimsingi ana dhamana ya kondoo anao wachunga kwa sababu ataulizwa kesho mbele ya haki ya juu ya alivyovichunga. Tunamtegemea mchungaji huyo achunge kondoo wa bwana na kuwapitisha katika njia sahihi kwa kuwapa maneno ya kiroho kutoka kwenye biblia takatifu. Swali jepesi ni hivi: Iweje huyo mchungaji ambaye kajitolea kasomea na hatimaye kuifanya hiyo kazi kwa mapenzi na utashi wake yeye mwenyewe akumbatie vitendo vya ushosti wakati kwenye bible Mungu amekemea hilo tendo. Ana mbipu Mungu kwa kupingana na maandiko ya kitabu chake kitakatifu?
 
Last edited by a moderator:
Kuna mahali hakuna gay?
What so special Vatican kuwepo na gay?

Nakubaliana na wewe kuwa gays are almost everywhere. But it's pathetic kuona Vatican au baadhi ya wawakilishi wa Vatican kwenye nchi zao husika ni ma shosti. Pale ni mahali patakatifu anapoishi baba mtakatifu kwa mujibu wa wa kristo wa dhehebu la Roman ambao. Kama walivyo wakristo wa madhehebu mengine, Biblia ndo katiba yao ambapo ndani yake kuna makatazo makali ya mambo haya. Iweje wakinzane na maandiko takatifu.
 
Kwa mujibu wa dini ya kikristo,
Hii dini ipo wapi?
Kwenye maandiko gani??
kanisa ni nyumba/sehemu ya Bwana. Ni mahali ambapo wakristo wanaamini ni patakatifu kwa kufanyia ibada na mambo yote ya kiroho kama ibada, sala za ubarikio na mazishi.
Hii tafsiri umeitoa wapi?
Sisi wafuasi wa Yesu Kristo tunaongozwa na maandiko matakatifu tu na hakuna mahali popote kwenye maandiko hayo panasema kuwa kanisa ni nyumba bali panasema kuwa kanisa ni mimi yaani mwili wangu

Efes 5:24
24 Enyi waume, wapendeni wake zenu, kama Kristo naye alivyolipenda Kanisa, akajitoa kwa ajili yake;


Sasa nikuulize Kristo alijitoa kwaajili ya jengo?
Mchungaji ndio kiongozi wa kiroho wa mahala hapo patakatifu na hata nje ya hapo. Yeye ndo mchunga wa kondoo wa bwana. Kimsingi ana dhamana ya kondoo anao wachunga kwa sababu ataulizwa kesho mbele ya haki ya juu ya alivyovichunga. Tunamtegemea mchungaji huyo achunge kondoo wa bwana na kuwapitisha katika njia sahihi kwa kuwapa maneno ya kiroho kutoka kwenye biblia takatifu. Swali jepesi ni hivi: Iweje huyo mchungaji ambaye kajitolea kasomea na hatimaye kuifanya hiyo kazi kwa mapenzi na utashi wake yeye mwenyewe akumbatie vitendo vya ushosti wakati kwenye bible Mungu amekemea hilo tendo. Ana mbipu Mungu kwa kupingana na maandiko ya kitabu chake kitakatifu?
Kila mtu anautaratibu wa kuongozwa na mchungaji?
Huyo "mchungaji" akiamua kuwa wa hovyo utahusishaje wengine na ambao hata hawajui kuwa kuna viongozi wanaoitwa hivyo?
 
Nakubaliana na wewe kuwa gays are almost everywhere. But it's pathetic kuona Vatican au baadhi ya wawakilishi wa Vatican kwenye nchi zao husika ni ma shosti.
Kwanini?
Pale ni mahali patakatifu anapoishi baba mtakatifu kwa mujibu wa wa kristo wa dhehebu la Roman ambao.
Usitishwe na neno takatifu,hata Freemasona wana mahali pao patakatifu
Hata wewe unaweza kuiita hiyo monitor yako kuwa ni takatifu

Vatican panaweza kuwa patakatifu kwa viwango vyao na vipimo vyao na huo utakatifu hauondolewi na ushoga na hata huyo Baba Ntakatifu ni kwa viwango hivyo hivyo pia.hivyo usitishwe na huo utakatifu

Kama walivyo wakristo wa madhehebu mengine, Biblia ndo katiba yao ambapo ndani yake kuna makatazo makali ya mambo haya. Iweje wakinzane na maandiko takatifu.

Sio sahihi ukawalinganisha Watu wengine na imani nyingine kwa sababu kila mtu anaielewa biblia tofauti
Wakatoliki wanaona ni sawa kuwa na sanam,wengine sio
Wakatoliki wanaona sawa kusali jumapili wengine wanaona sio
Wakatoliki wanaona sawa kumuomba Mariam wengine wanaona sio
Wakatoliki makao makuu yao ni Vatican wengine sio n.k

Utasemaje hawa wote wanaifuata biblia kwa namna iliyo sawa?

Kwenye mBiblia kuna makatazo ya ushoga kama kuna watu wanasema wanaifuta na wanayafanya jua hao wanasema tu kuwa wanaifuata lakini sio kweli wanafanya hivyo!
 
Jolyta this is not ignorance.. tofautisha ulemavu na utashi. Mtu ukizaliwa na jinsia mbili au hormone imbalance haimainishi kwamba ndio uanze kufanya mambo ya ushoga. Mfano kuna wanyama na ndege wana matatizo hayo lakini hujawahi ona ngombe, mbwa au kuku wa jinsia moja wakifanya vitendo hivyo. Point yangu siyo maumbile... Bali ni uamuzi wa kufanya kitendo hicho maana hata kama kuna kasoro ktk maumbile bado haimlazimishi mtu kufanya vitendo hivyo. Ndio maana nikasema ni kujiendekeza tu. Mungu hawezi ruhusu ulemavu huo ili watu wawe mashoga. Nadhani umenipata.

heh!!! Ni kama unasema kama mtu genes zake zinasema yeye ni albino, haimaanishi awe albino. How can one control that!!!! Kama kweli homosexuality inasababishwa na genes kama alivyosema yule member, utasemaje mtu asiwe hivyo, much less eti mungu hawezi kufanya makosa kama hayo!! If he made albinism, he made homosexuality. If it's all caused by gene mutations there's nothing one can do about it. Just like albinism and co-gendered people.

Na kwahiyo What do u suggest kwa mtu ambaye ana kila sifa ya jinsia ya kike including maziwa, sauti, sura etc kasoro ana uume? Na yeye anaona anavutiwa na wanaume? :confused2:
 
Jolyta this is not ignorance.. tofautisha ulemavu na utashi. Mtu ukizaliwa na jinsia mbili au hormone imbalance haimainishi kwamba ndio uanze kufanya mambo ya ushoga. Mfano kuna wanyama na ndege wana matatizo hayo lakini hujawahi ona ngombe, mbwa au kuku wa jinsia moja wakifanya vitendo hivyo. Point yangu siyo maumbile... Bali ni uamuzi wa kufanya kitendo hicho maana hata kama kuna kasoro ktk maumbile bado haimlazimishi mtu kufanya vitendo hivyo. Ndio maana nikasema ni kujiendekeza tu. Mungu hawezi ruhusu ulemavu huo ili watu wawe mashoga. Nadhani umenipata.

And are u sure hamna homosexual animals? For your info, homosexuality behavior, including penetration imeonekana kwa twiga na simba wa Africa. There are many animals, including insects and birds lakini najua utaona hao wengine are so small and insignificant ndomana nimekutajia hao wakubwa.

I'm not saying homosexuality is normal. Anything that causes harm to extinction of an organism is not normal. But why treat them as if they are the greatest evil humanity has ever commited?

Me natamani kweli nijue chanzo cha homosexuality. Sina uhakika kama ni genes. Kama kweli ni genes kwanini mungu akataze homosexuality akijua kuwa iko nje ya uwezo wao.
Inthe mean time, nina assume ndugu yangu amekuwa hivyo kwasababu ya malezi ya mzazi mmoja (mama), alikuwa sana na company za ndugu zake wa kike (especially me) na mwishowe aliharibiwa tu kule boarding. As u can see, full speculations on what is really up with my lovely mdogo 🙁
 
Hii kauli imenisikitisha
sana. Jaribuw kuangalia hali halisi duniani ilivyo. Kuna nchi gani ya
kiarabu duniani wana entertain huu upuuzi? Nchi nyingi za kiarabu Kuna
sheria kali sana. Ukiwa mzee wa mini kabang wakakudaka ni kitanzi tu.
Lakini nchi za wazungu wanapitisha na sheria kabisa ya kuwa wako huru na
haki zao za kufanya mambo hayo hadhalani kama ndoa zitalindwa kwa
mujibu wa sheria
mmmh Waarabu mabingwa!
 
Kuna Professor Muhimbili anafanya hio research aisee ni noma hizo prelimenary findings zake.
Inaonekana wako wengi sana sekondari na higher learning institutes.
Kutokana na sensitivity of study hataweza kusema ni vyuo au shule gani na za wapi zinaongoza lakini hali ni kwamba vijana wengi sana wana shiriki MSM (male sex with male)
 
Hizo ndizo siku mwisho maana hayo siyo ya kushangaa wakat nchi zenye nguvu dunian zinapitisha kuwa rasmi .Nan tumlaumu
 
Hi ni laana labda ingewekwa sheria kali wangepungua lkn mh hali inatisha jamani
 
Ni kheri mtoto wako wa kike akabebeshwa mimba kuliko mtoto wako wa kiume ainamishwe na mibaba
Kipindi hicho mtoto wa kike alikuwa anawekewa rada, siku hizi mambo yamebadilika wa kiume ndo wa kuchungwa maana ukijiaminisha utakuja kulia wameshakuharibia na hizi shule za BOARDING za BOYS ndo hatari...
 
Umenifanya nicheke alivyokufokea,kuiga upumbavu wa wazungu kunaangamiza vijana

Hali ni mbaya Brooo! Sijui tunaelekea wapi, mbaya zaidi ukilinganisha wanaojionyesha ni asilimia ndogo sana na wale ambao hawajionyeshi (yaan kimya kimya). Vijana wengi sana wadogo wadogo wameingia kwenye huu ulimbukeni!
 
Hao cha mtoto, ingia kwenye facebook ndo utaona balaa! Kuna watu kwenyr facebook wanajiita majina kama Dennis Mk..du Bikra, Joel Mtamu, Kuku Mtam, Kitom...i Mk..du Mzuri, Joseph Malya mpenda mb...o, Kijana Mzuri, Sijui Hamad Mtam, Mpenda Tigo, Mfir...i Mahiri, na mengi mengi ya hivyo.
Halafu kuna magroup kwenye Facebook ya kishoga shoga kama vile Tanga Gays, Shoga Bikra, Wasen...e wa Dar yaanj Facebook ndo balaaa wanatongozana huko.


Mimi kuna siku nilipata frienf request ya mtu anajiita Kit...bi Mku...u Mzuri. Daaaah nilishangaaa sana!

Kuna hii namba ya voda 0754 559...5 yaani huyu inaelelea ni shoga aliyekubuhu kwan ana majina kama 800 hv lakin the same namba anaomba huduma!
 
Kushindana kuvaa modo na kukaa kwenye dressing table mda mrefu na madada zao ndo kuna wafanya waongezeke.
 
Back
Top Bottom